Naona uelewa wako ni mdogo mno kuhusu middle east
Hezbollah sio serikali, ni kikundi mfano wa chama flani kinachoungwa mkono na kundi kubwa la Washia.
Hezbollah ni sehemu ya prox-wars zinazoongozwa na Iran dhidi ya Israel. Yaan Iran anadhamini vikundi vingi kugombana na Israel, mojawapo ni Hezbollah kwa upande wa Lebanon. Ni sawa na Houthi huko Yemen, Islamic Jihad huko Gaza etc
Kiufupi Hezbollah ni "nothing" zaidi ya kuonekana kikundi cha kigaidi kinachojificha kwenye migongo ya raia ili kujikinga na mashambulizi ya Israel. Israel haikupigana na jeshi la serikali bali kundi la Hezbollah
[/
Tatizo naona tunajadili in a layman's way, maana kusema ni therosit group, Israel also imekua terrorist group to innocent civilians in the middle east and kwa sababu in enjoy support of superpowers, all the ways to fight them are legal. The dividing line between what is legal and illegal is very thin and this is determined by the position of the observer, his beliefs, and the time and other factors. So hizo groups zote ni njia za kujihami na kumdhibiti Israel kuacha kujifanya kama beberu wa kiangazi in the middle east. Nasikitika sana wakristo wenzangu wanaofumbia macho manyanyaso ya wapalestina anaofanywa na Israel. Wake up and stand for the truth. Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa and this is sad. Kuwa na imani yako lakin isiwe tolerant kwa mambo mabaya