STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Hakuna kitu Israel hakipendi kama mvua za makombora, Israel ktk kutegemea uchumi wake kitu kikubwa ni Utalii kama inavyotegemea Z'bar, inamaana kama Hizbollah ingeliendekeza Operation zake Israel Uchumi wa Israel ungelishuka kwa kiasi flani na kieneo kile kingelikua na vita kuliko Gaza, jambo ambalo hataki litokee, ukichana na kupewa mabilioni ya hela kila mwaka Israel hana chanzo muhim chengine cha mapato cha hela zaidi ya utalii (Jerusalem) Israel hawatoapata amani mpaka dunia itaisha coz ndio wamejaaliwa vile sababu ya maeneo sio yao na wamekutana na waarabu wabishi, yaani hawatoishi kama wanavyoishi wazungu au baadhi ya nchi za Afrika na Asia
Walinikera maana kimahesabu HIZBULLAH waliupiga mwingi ila kimiundombinu wamerejeshwa sana nyuma mpaka leo.....