Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Sababu ya vita ilikuwa kukomboa wafungwa sio kuifuta Israel.
Lengo lingekuwa kuifuta, wangeifuta.
Iran ana malengo yapi dhidi ya Israel?
Kwa mujibu wa uzi Hezbollah na makundi mengine waliyoshiriki walitumia missiles za wapi?
.
Sasa mbona hawaifuti inapiga kila inayemtaka? Jordan, Lebanon, Syria na kwingineko anapita kama kwake.

Lakini alipigwa mpaka akasema naachia wafungwa.
Hata kama ni Mimi yaani bora uniue ila sio kipigwa na shoga.
Abdool kavae kanzu uende masjid ukapige madufu sina cha kujadili na wewe tena.
 
Unafikiri Hezbollah ni genge la wahuni?
Wale wana mipango kama IDF ilivyo na mipango au Mossad au CIA,
Usifikiri wanakurupuka kama nyumbu kwenda kushambulia.
Pia Hezbollah inasikiliza matakwa ya UN, ndio maana waliwataarifu wakazi wa Haifa kwamba wahame dozi inaanza.
Kama lingekua genge la wahuni, Israel ingepigwa usinge amini, wangeingia tel Aviv wakalipua watoto, wazee, wanawake na hilo lingekua genge la wahuni kama west boys kule Sierra Leone.
PRUUUUUUUU
 
Hezbollah alishambulia convoy ya jeshi la Israel kuteka na akaua. Israel wakapata kisingizio cha kuharibu miundombinu ya roketi zao za masafa marefu.
Lengo la Israel halikuwa kuondoa rocket zenye range fupi, hii huwezi labda utumie wanajeshi wa ardhini. Lengo lilikuwa kuharibu launch sites na depots za rockets zenye range kubwa.
Vita ilipoanza hakuna mpiganaji yeyote wa Hezbollah aliyeingia kwenye ardhi ya Israel, mapigano yaliishia Lebanon. Rockets ndo zilivuka mipaka.

Kwa sasa tiyari Israel wana Iron Dome air defense system ambayo ilizuia mashambulizi ya Hamas ile miaka ya 2013/14. Pia Hezbollah wana rockets nyingi zaidi na zenye uwezo mkubwa, lakini pia Israel ilijifunza kuzuia silaha zisiifikie Hezb badala ya kusubiri zifike ndo izishambulie endapo ikitokea vita.
Lebanon ndo iliumia hasa maana uchumi wake uliharibika sana.
Nchi vs Wanamgambo.
Wanamgambo uchumi wao ulishuka sana.
Haki ya Mungu nimecheka sana
 
1. Haya tuambie Iran ataifuta lini Israel?
2. Na Syria imerudi ilikuwa kwa nani ikaenda kwa nani na imerudi kwa nani?
3. Mikakati gani wanayo Iran we unaijua?
.
Swali lako ni zuri kwanini USA imeshindwa kumuondoa Assad?
Jibu
Kwanza lengo mama la USA kama ulivyo aminishwa ni kumuondoa Assad madarakani, sina taarifa zozote deep za jeshi la marekani ila ni kwamba marekani yuko pale kwa ajili ya mafuta tu anayachukua hachukui?
1-Kamuulize Khamenei.

2-Syria ipo pale kwa msaada wa mkubwa wa Iran na Russia
US,Israel walitaka kuangusha serikali ya Assad iwe kama Libya wamefeli baada ya Iran kuwakingia kifua.

3-Mikakati waliyonayo Iran ni mingi sana, unazungumzia upande gani?
 
Siwezi kujisumbua kusoma andiko lililoandikwa na mvaa kanzu,najua ni hisia na mihemko tu ndio imejaa.
Mkuu swala la Israel kuelezwa kushindwa keenye vita vile haliusiani na udini......Lebanon ina Wakristo wengi sana na ni washirika wa hilo kundi .....na unaposema wavaa kanzu una maana gani ili hali swala la unyanyasaji wa Israel unaktaliwa Dunia nzima??
 
Nchi vs Wanamgambo.
Wanamgambo uchumi wao ulishuka sana.
Haki ya Mungu nimecheka sana
Hakuna cha kuchekesha hapo labda uwe na matatizo ya akili, kuna kichekesho gani?
1.Al shabab inapigwa na majeshi kibao na haijafutwa.
2. Al Qaeda haijafutwa
3. ISIS haijaisha kabisa
4. Boko Haram bado ipo
5. Hamas
6. PKK
Na makundi mengine mengi, kati ya haya kuna kichekesho gani.
 
Kwamba uchumi wa Hezbollah ulishuka baada ya kupambana na wazee wa six days war.
😂😂😂😂😂😂
 
Japan na Ujerumani walishindwa kwenye vita zao na impact yake inaonekana.
.
Japan alikuwa mjeuri sana dhidi ya America hivi sasa hawezi hata kumkoholea, Germany pia alivyoshindwa vita akapoteza u-super power wake.
.
Issue ya Israel ni tofauti haihusishi uchumi wala chochote zaidi ya CHUKI za waislamu dhidi ya Israel.
Iran kama ndiye alitoa hayo makombora na yakafanya hayo maajabu mbona hajatimiza adhima yake hadi leo mbona kaiacha inapeta?
na kama kweli walipigwa na kakikundi mbona waislamu waarabu wamekalia midomo tu ooooh tunaonewa ooooh wanatulipua oooh twende UN oooh muamala wa karne kwanini wasitumie hizohizo njia wawafumue waondoke?
Hezbollah is generally considered the most powerful non-state actor in the world, and to be stronger than the Lebanese Army. ... The group's strategy against Israel uses rockets as offensive weaponry combined with light infantry and anti-armor units to defend their firing positions in southern Lebanon.
 
MKUU kwanza naomba ukumbuke yakwamba hapa tunaongelea vita ya 2006 ambayo ilihusisha ISRAEL na LEBANON
Kumbe, unayajua malengo yao kweli na kwanini huwa wanapambana na Israel?

Israel hawajawahi kuwa na mitazamo ya kijinga na kipuuzi kama yakishia hiyo ya KUFUTA.
.
Israel wangekuwa na mipango ya wakosa akili kama hiyo pale kusingekuwa na mpalestina hata mmoja, na wangeshajitanua sana kurejesha maeneo yao ya asili ndani ya inayoitwa Syria.
Pia unatakiwa uelewe sababu yakuundwa kikundi cha HIZBULLAH nikipi ?!

HIZBULLAH wamekuja amawameundwa kwamalengo yakuihami LEBANON yakusinu nanijambo ambalo wamefanikiwa kwa 80% sababu mpaka sasa LEBANON yakusini Ipo Mikononi mwa HEZBOLLAH bila kipingamizi chochote

Kama wangekua wanaweza kufanya kama unavyosema wanangojea nini nakwanini hua wanapigana nao vita kwamalengo gani ?!
 
Lebanon forms new coalition government, though one that includes Hezbollah
Nevertheless, the United States applauded the development.
Lebanese President Michel Aoun. Credit: Wikimedia Commons.
Lebanese President Michel Aoun. Credit: Wikimedia Commons.
Republish this article
(February 1, 2019 / JNS) After nine grueling months, Lebanon has formed a unity government that includes the U.S.-designated terrorist group Hezbollah, whose allies took

Sasa hii ni juzi tu (2019) Hiyo status Hezbollah hakuwa nayo 2006 wakati wa vita
 
Hezbollah is generally considered the most powerful non-state actor in the world, and to be stronger than the Lebanese Army. ... The group's strategy against Israel uses rockets as offensive weaponry combined with light infantry and anti-armor units to defend their firing positions in southern Lebanon.
Hezbollah huo uwezo ni kutoka Iran.
Asante sana.
 
Hezbollah is generally considered the most powerful non-state actor in the world, and to be stronger than the Lebanese Army. ... The group's strategy against Israel uses rockets as offensive weaponry combined with light infantry and anti-armor units to defend their firing positions in southern Lebanon.
After the end of the war did they remained in southern Lebanon?
 
Kwamba uchumi wa Hezbollah ulishuka baada ya kupambana na wazee wa six days war.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hezbollah sio Lebanon, ona hata kuzitofautisha huwezi. Mimi nimesema uchumi wa Lebanon wewe unasema uchumi wa Hezbollah.
 
Hezbollah alishambulia convoy ya jeshi la Israel kuteka na akaua. Israel wakapata kisingizio cha kuharibu miundombinu ya roketi zao za masafa marefu.
Lengo la Israel halikuwa kuondoa rocket zenye range fupi, hii huwezi labda utumie wanajeshi wa ardhini. Lengo lilikuwa kuharibu launch sites na depots za rockets zenye range kubwa.
Vita ilipoanza hakuna mpiganaji yeyote wa Hezbollah aliyeingia kwenye ardhi ya Israel, mapigano yaliishia Lebanon. Rockets ndo zilivuka mipaka.

Kwa sasa tiyari Israel wana Iron Dome air defense system ambayo ilizuia mashambulizi ya Hamas ile miaka ya 2013/14. Pia Hezbollah wana rockets nyingi zaidi na zenye uwezo mkubwa, lakini pia Israel ilijifunza kuzuia silaha zisiifikie Hezb badala ya kusubiri zifike ndo izishambulie endapo ikitokea vita.
Lebanon ndo iliumia hasa maana uchumi wake uliharibika sana.
Sio lebanon ni HIZBULLAH ila pia ndio aliefanikiwa sababu alianzisha vita kwamalengo fulani namalengo yake yote yalifanikiwa kwa 100% je ISRAEL alifanikiwa kipi katika ile vita baada yakuanzisha mashambulizi ?!

Hizbullah walikua nalengo lakuanzisha vita nawakaanzisha kwakuteka askari wa IDF ambao kwamalengo kwamba waachiliwe wafungwa wao wakombolewe nakweli mwisho wasiku walibadilishana wafungwa walokua wanawataka nawale wa ISRAEL walowakamata

ISRAEL walijibu mashambulizi kwamalengo yakuwakomboa Askari wao walotekwa je walifanikiwa kuwakomboa kabla yausitishaji vita ?! Nakama hawajafanikiwa utahesabia walifanywa nini ?!

Ikumbukwe HIZBULLAH nikagenge tu chawatu sio jeshi RASMI lataifa husika.
 
1. Haya tuambie Iran ataifuta lini Israel?
2. Na Syria imerudi ilikuwa kwa nani ikaenda kwa nani na imerudi kwa nani?
3. Mikakati gani wanayo Iran we unaijua?
.
Swali lako ni zuri kwanini USA imeshindwa kumuondoa Assad?
Jibu
Kwanza lengo mama la USA kama ulivyo aminishwa ni kumuondoa Assad madarakani, sina taarifa zozote deep za jeshi la marekani ila ni kwamba marekani yuko pale kwa ajili ya mafuta tu anayachukua hachukui?
Marekani anaweza akawa anachukua mafuta SYRIA halina ubishi ila mkakati Rasmi ulikua Kumtoa Assad madarakani Nandio maana Obama na Hillary wakati wapomadarakani wakawa wanasema AL ASSAD Must Go

Hatimae mpaka sasa toka 2011 Al Assad ndio rais wa SYRIA
 
Hezbollah sio Lebanon, ona hata kuzitofautisha huwezi. Mimi nimesema uchumi wa Lebanon wewe unasema uchumi wa Hezbollah.
Utashushaje UCHUMI walebanon wakati tunaongelea ISRAEL vS HIZBULLAH hapa BOSS

Kwani vita ilihusisha serikali ya LEBNON ?!
 
Mkuu unaiongelea IRAN ama Tunaiongelea ISRAEL vs HZIBULLAH war 2006 !?

Mbna hueleweki MKUU ?!
Mashia akili zenu sijui huwa mnaweka kwenye makobaz.
.
Hanit ilipigwa kombora linalofahamika kwa jina la C-802 lililo tengenezwa China na kuwa modified na Iran, range yake ni km 120.

Ndipo kombora aina Zelzal-2 na aina ntingine za kombora toka Iran zikaanza kumiminika kwa wingi ndani ya Israel, kombora hizi zilikuwa zinafika sehemu yeyote Israel na pia zilikuwa zinabeba warhead yenye mlipuko wa hali
Nini hiki? Sasa kama walifanikisha haya kwa kutumia vikundi vidooogo kwanini wasiende wao Iran front wakamalize mchezo?
 
Back
Top Bottom