mfano
kumbuka kinachomsaidia israel kuwashinda maadui zake waarabu ni intelijinsia na si kingine, kama akifeli kwenye insytelijinsia ni vigumu sana kuwashinda kijeshi kwa sababu maadui wamemzunguka kila sehemu so akiziba upande huu atapigwa upande mwingine.
vita yeyote hata uwe na nguvu vipi lazima na wewe utapata defeat na ndio maana sasa hivi ili usipate hasara kwenye ardhi yako wanafanya proxy war na kwa hapo israel amefanikiwa sana nchini syria sasa katumia akili akafanya hezbolah aende kupigana syria badala ya kurusha makombora israel, ona sasa syria imebaki magofu nchi nzima, iran alienda kutengeneza proxy wake lebanon ambae ni hezbolah israel akaenda kutengeneza proxy wake nchini syria sasa hivi anapiga syria kila anapojisikia na hao hezbolah na iran hawamfanyi chochote sasa hapo mbabe ni nani?
Hezbolah hakushinda vita hapo hapakua na mshindi yeyote na wote walipata hasara, kumbuka kwamba hezbolah alijipanga muda mrefu sana kwa hyo vita na alikua ana mbinu mpya ambazo intelijinsia ya israel haikua inazijua kwanza mfano hawakujua kwamba hezbolah ana makombora mapya so israel ilimuunderrate hezbolah, sio kweli kwamba israel jeshi lake hua halishindwi hata yeye hua anapata heavy loss mfano yom kipur alivamiwa ghafla mpaka anakuja kukaa vizuri alikua keshapata loss kubwa tu ya watu na vifaa.Kwa 100% kwasababu malengo yao yaliyowafanya waingie vitani waliyafanikisha kwa
Pia walipigana na jeshi ambalo lina aminika kwamba halishindiki
Unduaaamini ISRAEL haikushindwa v MKUU ?!