Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Ahahaha!Hujui kama bado wapo KULE ama ?!
Tena walichukua mashamba ya Shebaa ambayo kwakiasi kikubwa yalikua chini ya ISRAEL.
hakuna hata mmoja ndio makubaliano ya UN yalitaka hivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaha!Hujui kama bado wapo KULE ama ?!
Tena walichukua mashamba ya Shebaa ambayo kwakiasi kikubwa yalikua chini ya ISRAEL.
Kwani malengo c yalifikiwa na watoto wabab mwenye nyumba ama[emoji23][emoji23][emoji23]Mashia akili zenu sijui huwa mnaweka kwenye makobaz.
.
Nini hiki? Sasa kama walifanikisha haya kwa kutumia vikundi vidooogo kwanini wasiende wao Iran front wakamalize mchezo?
Ni tricks tu, issue ni mafuta.Marekani anaweza akawa anachukua mafuta SYRIA halina ubishi ila mkakati Rasmi ulikua Kumtoa Assad madarakani Nandio maana Obama na Hillary wakati wapomadarakani wakawa wanasema AL ASSAD Must Go
Hatimae mpaka sasa toka 2011 Al Assad ndio rais wa SYRIA
www.google kapitia hapo.....Ahahaha!
hakuna hata mmoja ndio makubaliano ya UN yalitaka hivyo
yaani wewe unajua ni trick wakati wao walitangaza zaidiNi tricks tu, issue ni mafuta.
Sasa kwanini mashia wakubwa wasimalize mchezo ili waishi kwa amani.Tatizo unapanic MKUU[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani malengo c yalifikiwa na watoto wabab mwenye nyumba ama[emoji23][emoji23][emoji23]
Vita ilipigwa wapi, madaraja yalipogwa ni ya nani, uwanja wa ndege uliopigwa ni wa nani, oil depots za nani, vituo vya umeme ni vya nani? Hivyo vyote unasema ni vya Hezbollah?Utashushaje UCHUMI walebanon wakati tunaongelea ISRAEL vS HIZBULLAH hapa BOSS
Kwani vita ilihusisha serikali ya LEBNON ?!
Alokwambia IRAN hawaishi kwa amani nani[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwanini mashia wakubwa wasimalize mchezo ili waishi kwa amani.
Sijasema hakuna madhara ya UCHUMI nahuko kote alipotaka kukufanya nikuziba kushindwa kwake sababu DUNIA nzima inajulikana HIZBULLAH wanapatikana wapi pale LEBANONVita ilipigwa wapi, madaraja yalipogwa ni ya nani, uwanja wa ndege uliopigwa ni wa nani, oil depots za nani, vituo vya umeme ni vya nani? Hivyo vyote unasema ni vya Hezbollah?
Nani aligharamia restoration ya miundombinu iliyoharibiwa na IDF?
Au unasema madhara ya uchumi hayakuwepo kwenye vita hii.
Lengo la Hezbollah ni kuzuia influence ya Sunni nchini Lebanon na kuilinda dhidi ya Israel.Sio lebanon ni HIZBULLAH ila pia ndio aliefanikiwa sababu alianzisha vita kwamalengo fulani namalengo yake yote yalifanikiwa kwa 100% je ISRAEL alifanikiwa kipi katika ile vita baada yakuanzisha mashambulizi ?!
Hizbullah walikua nalengo lakuanzisha vita nawakaanzisha kwakuteka askari wa IDF ambao kwamalengo kwamba waachiliwe wafungwa wao wakombolewe nakweli mwisho wasiku walibadilishana wafungwa walokua wanawataka nawale wa ISRAEL walowakamata
ISRAEL walijibu mashambulizi kwamalengo yakuwakomboa Askari wao walotekwa je walifanikiwa kuwakomboa kabla yausitishaji vita ?! Nakama hawajafanikiwa utahesabia walifanywa nini ?!
Ikumbukwe HIZBULLAH nikagenge tu chawatu sio jeshi RASMI lataifa husika.
They're law unto themselves buda kilichotendeka ni kwamba walitangaza kurejea baada ya miaka 10 ila sio kweli.www.google kapitia hapo.....
Sijui wataficha wapi aibu yao. Hezb wanapigwa muda wowote uko Syria na Lebanon kwenyewe.Hezbollah ni nothing kwa Israel, zaidi ya kujificha nyuma ya migingo ya wananchi wasio na silaha ili wasishambuliwe.
Baada ya vita ya 2006, Israel kaendelea kuitia adabu Hezbollah mara kibao
Sept 2008 Imad Mughnyeh, Chief Commander wa Hezbollah anauawa na Israel huko Damascus. Hii inamlazimu Hassan Nasrallah kuhamishia makazi yake ndani ya handaki kwa kuogopa kuuawa
January 2015 Jihad Mughniyeh, mrithi na mtoto wa Imad naye anauawa na kombora la Israel, Hezbollah kimya
Etc
Hezbollah haijibu
Haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe unajua ni trick wakati wao walitangaza zaidi
Unajua trick zao kuliko rais wao KONGOLE[emoji4][emoji23][emoji2]
Mashenzi sana hayaSijui wataficha wapi aibu yao. Hezb wanapigwa muda wowote uko Syria na Lebanon kwenyewe.
Sema Nasrallah hatopigwa, Israel inamuacha siku zote.View attachment 1470841View attachment 1470842
Wameona kupigana full war wanapelekeshwa sasa wameona bora wawavizie kama simba na swala [emoji23][emoji23][emoji23]Hezbollah ni nothing kwa Israel, zaidi ya kujificha nyuma ya migingo ya wananchi wasio na silaha ili wasishambuliwe.
Baada ya vita ya 2006, Israel kaendelea kuitia adabu Hezbollah mara kibao
Sept 2008 Imad Mughnyeh, Chief Commander wa Hezbollah anauawa na Israel huko Damascus. Hii inamlazimu Hassan Nasrallah kuhamishia makazi yake ndani ya handaki kwa kuogopa kuuawa
January 2015 Jihad Mughniyeh, mrithi na mtoto wa Imad naye anauawa na kombora la Israel, Hezbollah kimya
Etc
Hezbollah haijibu
HIZBU wakopale kupambana na kuzuia uwizi walokua jamaa vibaka wale wanauendesha wakuvamia vamia LEBANON kipuuzi nasasa wathubutu waone watakachopata zaidi yakile cha 2006Lengo la Hezbollah ni kuzuia influence ya Sunni nchini Lebanon na kuilinda dhidi ya Israel.
Israel sijui kama ana mpango wa kuongeza ardhi yake kwa wizi tena. Wasunni bado wapo, lazima Hezb wawepo na wamefanikiwa kuwazuia.
ndio maana nakwambia pitia hapo najua hujapitia ila unabisha [emoji23][emoji23][emoji23]They're law unto themselves buda kilichotendeka ni kwamba walitangaza kurejea baada ya miaka 10 ila sio kweli.
Baada yakuona wameshinda kuwapiga HIZBULLAH wanaenda kuwavizia wakiwa SYRIA waingie full war kama 2006 ndio wataelewa.....Sijui wataficha wapi aibu yao. Hezb wanapigwa muda wowote uko Syria na Lebanon kwenyewe.
Sema Nasrallah hatopigwa, Israel inamuacha siku zote.View attachment 1470841View attachment 1470842
Nipite Google kisha?ndio maana nakwambia pitia hapo najua hujapitia ila unabisha [emoji23][emoji23][emoji23]
ISRAEL coward.