Ni jinsi gani Hezbollah iliweza kushinda vita dhidi ya Israel? (2006)

Mkuu si u google tu sababu zilizopekea Hizbu kuingia vitani ?!

Busha kama nani[emoji23][emoji23][emoji23]

Yah anaweza akawa hana haki yakutangaza ila alisemea uhalisia wamambo jinsi ulivyokua japokua haikua kazi yake

Unahisi kama wangekua wameshinda hio vita najamaa kama angetangaza kama wameshinda nawakati sio kazi yake angefutwa kazi ?!

Kuna baadhi yamaswali yageuze tu MKUU unapata Majibu.....
Sir Issue ni Mkuu wa Majeshi hakutaka kuendelea na vita, ila Olmert alitaka iendelee.
ndio maana sisi tunasimamia msimamo wetu kuwa Israel haikushindwa hatubahatishi.
.
Israel angelishindwa angepata tabu sanaaa na hata wangeshakuwa hawapo tena kwenye kale kaeneo. Ila bado wapo na wanawachekecha waarabu vilivyo.
 
Hezbollah walifanya ujinga mmoja tu, walitakuwa wapige mpaka tel aviv, hakuna cha kusikiliza cha po ya israel wala nini wangetwanga tu, hii ni po ya kinafiki kwa kuogopa madhara zaidi, walipaswa kupeleka hayo madhara na si kusikiliza hii po.

Ukifatilia madhara ya miundo mbinu unaona kabisa lebanon kuliharibiwa zaidi, sasa mnakubali vipikusimamisha vita kiboya, wangetwanga kwanza kule tel aviv halafu ndio wakubali mazungumzo, hapo wangekuwa wamepindua meza kibabe zaidi.
Idiot
 
Sir Issue ni Mkuu wa Majeshi hakutaka kuendelea na vita, ila Olmert alitaka iendelee.
ndio maana sisi tunasimamia msimamo wetu kuwa Israel haikushindwa hatubahatishi.
.
Israel angelishindwa angepata tabu sanaaa na hata wangeshakuwa hawapo tena kwenye kale kaeneo. Ila bado wapo na wanawachekecha waarabu vilivyo.
Hawajashinda kwasababu mbili

1.LEBANON waliwavamia Israel kwamalengo yakwamba wafungwa wao wanaoshikiliwa na ISRAEL waachiliwe huru nanikweli waliachiliwa Huru

2.ISRAEL taifa linalohusika ama kusifika kua linanguvu kubwa yakijeshi ME walienda kupambana na Hizbullah kwamalengo mawili kwanza kuwasambaratisha Hizbu kuhakikisha wanawafuta pale LEBANON pili kuwakomboa wanajeshi wake walokua wamekamatwa mateka

Je nambie katika hilo walifanikisha lipi ?! Nautatumia kigezo gani kusema kama wameshinda vita ile ?!
 
Kama utakua nania yakuelewa utaelewa hapa
Chanzo cha hii habari ni DW

Wanajeshi wa Israel wazikwa na Hezbollah watoa heshima kubwa kwa wanamgambo na wapiganaji 199

17.07.2008

Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah asema enzi za kushindwa zimekwisha''

Maiti 199 zafanyiwa Gwaride la heshima na wanamgambo wa Hezbollah

Kundi la Hezbollah limefanya gwaride la heshima kwa ajili ya wapiganaji wake 199 waliouwawa na Israel ambao miili yao ilikabidhiwa jana chini ya mpango wa kubadilishana wafungwa ambapo pia wafungwa wengine watano wa Lebanon waliachiwa huru.

Maiti za walebanon zikiwa kwenye majeneza yaliyopambwa yalipitishwa kutoka barabara za mji wa Naqoura ulioko kusini mwa nchi hadi mji mkuu Beirut huku magari yaliyobeba maiti hizo yakisimama kila kijiji kuwapa nafasi waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kurusha mawardi na mchele kwenye majeneza hayo.

Magari yote yalikuwa yameandikwa maneno ya kuwasifu marehemu hao kwamba ni watu waliokufa mashahid na mashujaa wa vita.

Magari yote hayo yalikuwa yamebandikwa picha kubwa ya aliyekuwa kamanda wa jeshi la Hezbollah Imad Mughniyeh aliyeuwawa na ambaye alihusika kupanga uvamizi wa mwaka 2006 uliosababisha kuwakama wanajeshi wawili wa Israel Regev na Goldwasser.

Miongoni mwa wapiganaji 199 waliouwawa na Israel kuna wanamgambo sabaa wa Hezbollah ilhali wengine wengi waliosalia ni wapalestina ambao walihusika kufanya mashambulio nchini Israel kati ya miaka 70 hadi 80 akiwemo pia Dalal al Mughrabi mtu anayetambuliwa na wapalestina kama shujaa na kuangaliwa na Israel kama gaidi mkubwa kutokana na kuliteka nyara basi moja la waisraeli mnamo mwezi Marchi mwaka 1978 na kusababisha vifo vya waisraeli 30.

Kusini mwa Beirut wafungwa watano walioachiwa huru akiwemo Samir Kuntar waliweka mashada ya maua kwenye kaburi la Mughniyeh.

Kuntar aliyepokelewa kwa heshima kubwa katika uwanja wa ndaege wa kimataifa mjini Beirut hapo jana na kwenye uwanja wa michezo wa kusini mwa Beirut amesema hajutii kuhusu mauaji aliyoyatekeleza.

Ubadilishanaji huo wa wafungwa umeonekana kuwa ushindi kwa Hezbollah katika macho ya wapinzani na wafuasi wa kundi hilo.

Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah binafsi alijitokeza kuwakaribisha nyumbani wanamgambo hao watano waliochwa na Israel na mbele ya mkutano mkubwa wa hadhara akasema kwamba enzi za kushindwa zimemalizika.Maneno hayo yameonekana kutiliwa nguvu pia na rais Michele Suleiman ambaye yeye alisema wataitetea ardhi ya Lebanon kwa njia yoyote ile.

Kwa Upnde wa Waisraeli yalikuwa ni majonzi moja kwa moja katika mazishi ya wanajeshi wake wawili yaliyoonyosehwa moja kwa moja kwenye televisheni ya taifa.

Mjane wa Gold wasser mwanajeshi aliyeuwawa alikuwa na huzuni nyingi huku akibubujikwa na machozi alisema na hapa tunamnukulu'' nilitumai kwamba ntaamka siku moja na kusema ilikuwa ndoto tu,ndoto mbaya''Mwisho wa kunukulu mjane wa Goldwasser.

Ehud Goldwasser amezikwa kwenye makaburi ya kijeshi katika mji alikozaliwa wa Nahriya kaskazini mwa Israel Eldad Regev amezikwa makaburi ya kijeshi ya mji wa Haifa.

Waziri wa Ulinzi wa Israel na mkuu wa zamani wa jeshi Ehud Barak pia alikuweko katika mazishi yote.Alikuwa mnyonge na mwenye huzuni nyingi wakati akitoa buriani amesema na hapa nikimnukuu'' tulitaka kukukaribisha tena pamoja na mwenzako Eldad Regev.Tulitaka kuwakumbatia na kuwaona mkitabasamu lakini tunawasindikiza leo hii machozi ya kitudondoka huku mioyo yetu ikiwa mizito.Mwisho wa kumnuku waziri wa ulinzi wa Israel Ehud Barak.

Kwa upande mwingine Rais Shimon peres amesema wamejitoa muhanga ili kuhakikisha roho za wanajeshi wake wawili zinalazwa mahala pema na huo ndio wanaouita ushindi na kwa hilo Lebanon imejidhalilisha.Lakini pia amesema Israel ina majonzi makubwa kutokana na kuwapoteza wanajeshi wake .Maswahiba wakubwa wa Hezbollah Iran imepongeza hatua ya kuachiwa huru wanamgambo walebanon na kusema ni habari za kufurahisha ambazo zimetokana na mafanikio ya upinzani wa kiislamu wa kundi la Hezbollah na taifa la walebanon.Waziri wa mambo ya nje wa Iran Manoucher Mottaki amesema yote hayo ni kufuatia ujasiri wa muda mrefu wa walebanon na mataifa ya eneo hilo na tunaupongeza ushindi huu mkubwa kabisa.
 
Kumbe, unayajua malengo yao kweli na kwanini huwa wanapambana na Israel?

Israel hawajawahi kuwa na mitazamo ya kijinga na kipuuzi kama yakishia hiyo ya KUFUTA.
.
Israel wangekuwa na mipango ya wakosa akili kama hiyo pale kusingekuwa na mpalestina hata mmoja, na wangeshajitanua sana kurejesha maeneo yao ya asili ndani ya inayoitwa Syria.
 
Ahahahahaha! Sasa Iran alishindwa nini kutimiza adhma yake na wakati kakikundi kadogo kalishinda kwa missiles zake?
 
Unafikiri Hezbollah ni genge la wahuni?
Wale wana mipango kama IDF ilivyo na mipango au Mossad au CIA,
Usifikiri wanakurupuka kama nyumbu kwenda kushambulia.
Pia Hezbollah inasikiliza matakwa ya UN, ndio maana waliwataarifu wakazi wa Haifa kwamba wahame dozi inaanza.
Kama lingekua genge la wahuni, Israel ingepigwa usinge amini, wangeingia tel Aviv wakalipua watoto, wazee, wanawake na hilo lingekua genge la wahuni kama west boys kule Sierra Leone.
 
Ahahahahaha! Sasa Iran alishindwa nini kutimiza adhma yake na wakati kakikundi kadogo kalishinda kwa missiles zake?
Watimize adhma yao Mara ngapi?
Lengo la vita ilikuwa kukomboa wafungwa, Israel ikachapwa ikawaachia.
Iran ilitoa msaada wa training na vifaa, wana mipango wale.
Operation za kijeshi haziendi kijinga hivyo.
Wanapanga mikakati, Lengo,nia na sababu pia ya mission.
Iran imeifanya Syria irudi, kwa nini US na genge lake wameshindwa kumuangamiza Al-Assad?
 
Kumbe, unayajua malengo yao kweli na kwanini huwa wanapambana na Israel?

Israel hawajawahi kuwa na mitazamo ya kijinga na kipuuzi kama yakishia hiyo ya KUFUTA.
.
Israel wangekuwa na mipango ya wakosa akili kama hiyo pale kusingekuwa na mpalestina hata mmoja, na wangeshajitanua sana kurejesha maeneo yao ya asili ndani ya inayoitwa Syria.
Kama hawana mipango ya kipuuzi kwa nini askari wa IDF wanakuwa mashoga?
Ndio maana vita hawawezi zaidi ya kusaidiwa na US na Europe.
We unanuweka shoga kikosi cha mizinga, likipigwa bomb kwa sababu rinda limesha tatuliwa na nati zimelega basi ataachia tu uharo pasipo kujitambua.
IDF wakiwa kwenye mapambano na vikundi kama Hezbollah huwa wanavaa pampasi.
 
Kama utakua nania yakuelewa utaelewa hapa
Chanzo cha hii habari ni DW
Wanajeshi wa Israel wazikwa na Hezbollah watoa heshima kubwa kwa wanamgambo na wapiganaji 199

17.07.2008

Kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah asema enzi za kushindwa zimekwisha''

Maiti 199 zafanyiwa Gwaride la heshima na wanamgambo wa Hezbollah

Kundi la Hezbollah limefanya gwaride la heshima kwa ajili ya wapiganaji wake 199 waliouwawa na Israel ambao miili yao ilikabidhiwa jana chini ya mpango wa kubadilishana wafungwa ambapo pia wafungwa wengine watano wa Lebanon waliachiwa huru.

Maiti za walebanon zikiwa kwenye majeneza yaliyopambwa yalipitishwa kutoka barabara za mji wa Naqoura ulioko kusini mwa nchi hadi mji mkuu Beirut huku magari yaliyobeba maiti hizo yakisimama kila kijiji kuwapa nafasi waliojitokeza kutoa heshima za mwisho kurusha mawardi na mchele kwenye majeneza hayo.

Magari yote yalikuwa yameandikwa maneno ya kuwasifu marehemu hao kwamba ni watu waliokufa mashahid na mashujaa wa vita.

Magari yote hayo yalikuwa yamebandikwa picha kubwa ya aliyekuwa kamanda wa jeshi la Hezbollah Imad Mughniyeh aliyeuwawa na ambaye alihusika kupanga uvamizi wa mwaka 2006 uliosababisha kuwakama wanajeshi wawili wa Israel Regev na Goldwasser.

Miongoni mwa wapiganaji 199 waliouwawa na Israel kuna wanamgambo sabaa wa Hezbollah ilhali wengine wengi waliosalia ni wapalestina ambao walihusika kufanya mashambulio nchini Israel kati ya miaka 70 hadi 80 akiwemo pia Dalal al Mughrabi mtu anayetambuliwa na wapalestina kama shujaa na kuangaliwa na Israel kama gaidi mkubwa kutokana na kuliteka nyara basi moja la waisraeli mnamo mwezi Marchi mwaka 1978 na kusababisha vifo vya waisraeli 30.

Kusini mwa Beirut wafungwa watano walioachiwa huru akiwemo Samir Kuntar waliweka mashada ya maua kwenye kaburi la Mughniyeh.

Kuntar aliyepokelewa kwa heshima kubwa katika uwanja wa ndaege wa kimataifa mjini Beirut hapo jana na kwenye uwanja wa michezo wa kusini mwa Beirut amesema hajutii kuhusu mauaji aliyoyatekeleza.

Ubadilishanaji huo wa wafungwa umeonekana kuwa ushindi kwa Hezbollah katika macho ya wapinzani na wafuasi wa kundi hilo.

Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah binafsi alijitokeza kuwakaribisha nyumbani wanamgambo hao watano waliochwa na Israel na mbele ya mkutano mkubwa wa hadhara akasema kwamba enzi za kushindwa zimemalizika.Maneno hayo yameonekana kutiliwa nguvu pia na rais Michele Suleiman ambaye yeye alisema wataitetea ardhi ya Lebanon kwa njia yoyote ile.

Kwa Upnde wa Waisraeli yalikuwa ni majonzi moja kwa moja katika mazishi ya wanajeshi wake wawili yaliyoonyosehwa moja kwa moja kwenye televisheni ya taifa.

Mjane wa Gold wasser mwanajeshi aliyeuwawa alikuwa na huzuni nyingi huku akibubujikwa na machozi alisema na hapa tunamnukulu'' nilitumai kwamba ntaamka siku moja na kusema ilikuwa ndoto tu,ndoto mbaya''Mwisho wa kunukulu mjane wa Goldwasser.

Ehud Goldwasser amezikwa kwenye makaburi ya kijeshi katika mji alikozaliwa wa Nahriya kaskazini mwa Israel Eldad Regev amezikwa makaburi ya kijeshi ya mji wa Haifa.

Waziri wa Ulinzi wa Israel na mkuu wa zamani wa jeshi Ehud Barak pia alikuweko katika mazishi yote.Alikuwa mnyonge na mwenye huzuni nyingi wakati akitoa buriani amesema na hapa nikimnukuu'' tulitaka kukukaribisha tena pamoja na mwenzako Eldad Regev.Tulitaka kuwakumbatia na kuwaona mkitabasamu lakini tunawasindikiza leo hii machozi ya kitudondoka huku mioyo yetu ikiwa mizito.Mwisho wa kumnuku waziri wa ulinzi wa Israel Ehud Barak.

Kwa upande mwingine Rais Shimon peres amesema wamejitoa muhanga ili kuhakikisha roho za wanajeshi wake wawili zinalazwa mahala pema na huo ndio wanaouita ushindi na kwa hilo Lebanon imejidhalilisha.Lakini pia amesema Israel ina majonzi makubwa kutokana na kuwapoteza wanajeshi wake .Maswahiba wakubwa wa Hezbollah Iran imepongeza hatua ya kuachiwa huru wanamgambo walebanon na kusema ni habari za kufurahisha ambazo zimetokana na mafanikio ya upinzani wa kiislamu wa kundi la Hezbollah na taifa la walebanon.Waziri wa mambo ya nje wa Iran Manoucher Mottaki amesema yote hayo ni kufuatia ujasiri wa muda mrefu wa walebanon na mataifa ya eneo hilo na tunaupongeza ushindi huu mkubwa kabisa.
Ndio walikufa shoga 121 wa IDF mkuu
 
Hezbollah alishambulia convoy ya jeshi la Israel kuteka na akaua. Israel wakapata kisingizio cha kuharibu miundombinu ya roketi zao za masafa marefu.
Lengo la Israel halikuwa kuondoa rocket zenye range fupi, hii huwezi labda utumie wanajeshi wa ardhini. Lengo lilikuwa kuharibu launch sites na depots za rockets zenye range kubwa.
Vita ilipoanza hakuna mpiganaji yeyote wa Hezbollah aliyeingia kwenye ardhi ya Israel, mapigano yaliishia Lebanon. Rockets ndo zilivuka mipaka.

Kwa sasa tiyari Israel wana Iron Dome air defense system ambayo ilizuia mashambulizi ya Hamas ile miaka ya 2013/14. Pia Hezbollah wana rockets nyingi zaidi na zenye uwezo mkubwa, lakini pia Israel ilijifunza kuzuia silaha zisiifikie Hezb badala ya kusubiri zifike ndo izishambulie endapo ikitokea vita.
Lebanon ndo iliumia hasa maana uchumi wake uliharibika sana.
 
Watimize adhma yao Mara ngapi?
Lengo la vita ilikuwa kukomboa wafungwa, Israel ikachapwa ikawaachia.
Iran ilitoa msaada wa training na vifaa, wana mipango wale.
Operation za kijeshi haziendi kijinga hivyo.
Wanapanga mikakati, Lengo,nia na sababu pia ya mission.
Iran imeifanya Syria irudi, kwa nini US na genge lake wameshindwa kumuangamiza Al-Assad?
1. Haya tuambie Iran ataifuta lini Israel?
2. Na Syria imerudi ilikuwa kwa nani ikaenda kwa nani na imerudi kwa nani?
3. Mikakati gani wanayo Iran we unaijua?
.
Swali lako ni zuri kwanini USA imeshindwa kumuondoa Assad?
Jibu
Kwanza lengo mama la USA kama ulivyo aminishwa ni kumuondoa Assad madarakani, sina taarifa zozote deep za jeshi la marekani ila ni kwamba marekani yuko pale kwa ajili ya mafuta tu anayachukua hachukui?
 
Sir Issue ni Mkuu wa Majeshi hakutaka kuendelea na vita, ila Olmert alitaka iendelee.
ndio maana sisi tunasimamia msimamo wetu kuwa Israel haikushindwa hatubahatishi.
.
Israel angelishindwa angepata tabu sanaaa na hata wangeshakuwa hawapo tena kwenye kale kaeneo. Ila bado wapo na wanawachekecha waarabu vilivyo.
Sababu ya vita ilikuwa kukomboa wafungwa sio kuifuta Israel.
Lengo lingekuwa kuifuta, wangeifuta.
Lakini alipigwa mpaka akasema naachia wafungwa.
Hata kama ni Mimi yaani bora uniue ila sio kipigwa na shoga.
 
Siwezi kujisumbua kusoma andiko lililoandikwa na mvaa kanzu,najua ni hisia na mihemko tu ndio imejaa.
Hawa maabdool hawanaga jema na Israel.
kwo we don't expect anything intelligent frome em na hasa MASHIA
 
Back
Top Bottom