Sang'udi
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 9,398
- 23,057
Ukisoma habari ya Baba Mwenye Huruma (Luka 15:11-32) utakutana na ukweli kwamba mwana mpotevu alisamehewa dhambi zake lakini hakurudishiwa hadhi yake sawa na mwana msikivu.mnakosea sana mnapowatukana wanawake ambao labda sio bikra. unachotakiwa kujua, zile sehemu za siri ni kitu cha kawaida tu, sio sabuni ile, uwe umezaa, uwe ulikuwa mzinzi uwe ulikuwa nani, ziko vile vile tu, hata zikilegea huwa zinajirudi, ndio maana hata wakizaa zinapanuka kutoa kichwa ila zinajirudi. pia, kwani kuna shida gani kama mwanamke aliyetumika akikutana na mwanaume aliyetumika? maeneo yao wote wawili yameshatumika, wewe kinakuuma nini?
makako wewe alishatumika sana kwa babako na wapenzi wa zamani, ina maana mamako hana thamani kwa babako? au hauna mama?
siongei hivi kushabikia uzinzi, ila cha muhimu uwe mzinzi uwe nani, MUNGU HUWA ANASAMEHE DHAMBI NA KUSAHAU, mtu akishatubu anakuwa kiumbe kipya mbele za Mungu aliye bikra na asiye bikra wapo sawa kama wote wametubu. punguza hasira.
Kwanini? Kwa sababu pamoja na kwamba Mungu anasamehe na kusahau, habadilishi consequences za dhambi zako.
Unapozini na kupoteza ubikra, Mungu atakusamehe, lakini hawezi kukurudishia ubikra. Ndio imetoka hivyo. Ukiiba ukakatwa mkono, Mungu atakusamehe dhambi yako lakini hatakurudishia mkono uliokatwa, ndio imetoka hivyo.
Point yangu ni kuwa; mwanamke asiye bikra hata akitubu na kusamehewa dhambi, ubikra haurudi. Ndio imetoka. Mwanamke asiye bikra anakuja na traumas na baggages nyingi kutoka kwa wanaume wake. Kwanini uhangaike na malaya?
NB: Linapokuja suala la sex, mwanaume na mwanamke hawapo sawa.