Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

Nani kaumia sasa,?
Mm nahisi ww ndio unaumia sana kuwaona kina Ali kiba kweny majukwaa ya CCM πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nafurahi sana kuwaona wakitujazia watu Nakereka na ushamba tunaouendekeza sasa. Tusibweteke na nyomi iliyokuja kuangalia two valuables huwezi fahamu valuable ipi ndio yenye mvuto sana.
 
Wajitafakari, uongozi sio kitanda cha waridi
 
People's power, [emoji3577][emoji3577]
 
Chadema imekosa mvuto sana mbele ya wananchi wengi
 
Polepole anahusika vp na sisi ndugu mbn kama umewaka kwenye gia ww,lete hoja acha propaganda za kijinga
 
"...CHADEMA ni wenye nakisi ya akili.." take example how you guys mnavohandle things, corona na lockdown? conflict zenu za ndani? ni mifano michache inayoonesha hamkosmart hasa kwa masuala yenu ya ndani, rudi nyuma suala lenu na Zito, kushinikiza na kumpokea Lowasa agombee kwenu Je, ninyi ni wenye akili?
 
Huu ushudu uloandika bora muda wako ungeendelea kunywa gongo na walevi wenzako wa matap tapu
 
Magufuli amepwaya mno haamini macho yake kwa jinsi alivyokutana na upinzani imara kabisa, amebakia kufoka, kutisha, kubwabwaja na kupayuka tu.
 
Kwanza mbowe ndiye aliesababisha CHADEMA wagombane na TBC
Waliosababisha ni wale watangazaji wapumbavu wa TBC walioshindwa kutambua wajibu wao. Hawajifunzi, miaka michache nyuma wamewahi baadhi yao kusimamishwa kazi kwa kutangaza uongo eti Trump kamsifia Magufuli wakati sidhani kwamba Trump hata anafahamu Magufuli ni nani.
 
mategemeo ya watanzania wengi saiv co ahadi bali vitendo Mgombea wa ccm alishafanya hvyo watuwez kubadilisha na kumuweka mutu kwa majalibio wakati aliyeanzisha bado ana sifa na mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…