Ni kama alivyosema Juliana Shonza, Mbowe must be disposed

Mimi nashangaa kua kama kila kitu kwao hakifai wanataka Urais watafanya kazi na kina nani???
 
Wamejichanganya kuwasaidia kurusha matangazo yenu LIVE?
 
CHADEMA wamepoteza hamasa katika mikutano yao, wamepoteza mvuto kwa wananchi, wamekosa ajenda na hawana sera. Sio coverage ya TBC, ITV, Clouds TV ama media yeyote ile inaweza kuwasaidia kwasasa. Narudia tena kuwa Kampeni ni maarifa, mipango na akili, CHADEMA WAMEKOSA VYOTE....!! "
 
Mbowe kaishika CCM pabaya wap?
Wabunge wake tu na madiwani wake wanamshinda ataiweza CCM?
 
Hivi kama mbowe hakuchukua uamuzi wa kuwaondoa TBC pale Mbagala kuu, Unafikiri TBC wangejua kama kuna mahali hawapo sawa katika kazi zao?
Hhhh,
Asa kwann wasiombe radhi TBC na badala yake CHADEMA ndio waombe radhi?
 
Aaah wapi,umejaza upotoshaji mkubwa!Unashindwa kueleza kuwa Ryoba alikiri watendaji wake kutokuwa na weledi!
 
Tbccm imebidi wamwombe mbowe msamaha kwenye maridhiano

je? unalijua Hilo we pimbi!
 
Katika tukio lile inamuonesha Mbowe akipewa ujumbe wa shinikizo pasipo tafakuri nae akatekeleza, bila kujali itachukuliwa vipi na taasisi zingine pamoja na wananchi.KAKOSA SIFA MUHIMU YA UONGOZI MUST BE DISPOSED.
Lakini tbccm wanahiitaji chadema kuliko chadema inavyowahitaji, miaka minne chadema bila tbc bado chadema iko ngangari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…