Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Naona wewe ndo kiazi mbatataKiazi mbatata👇😁😁😁
View attachment 1968199
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona wewe ndo kiazi mbatataKiazi mbatata👇😁😁😁
View attachment 1968199
Mimi simuonei mtu na wala haitatokea nimuonee mtu.Mimi CCM nawaita ni viazi mbatata kutokana na haya matendo yao ya hovyo katika nchi yangu pendwa ya Tanzania👇Naona wewe ndo kiazi mbatata
Unasumbuliwa na elimu duni. Hujui hata matumizi ya gesi inayozungumziwa ni kitu gani. Ifikiwe wakati hapa JF iwe ni sehemu ya kuuliza na kuelimishwa badala ya kujidai kuleta taarifa au habari ambayo huijui na hujawahi kuisikia.Amani iwe nanyi wadau,
Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha.
Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa walizokuwa wamezitupa kando kwa miaka karibu 6 mpaka 7!
Ulaya walipokuwa wanategemea nishati mbadala sasa wameona hawawezi tena kwenda bila gesi! Baridi inayoongezeka Ulaya inafanya Gesi kuhitajika zaidi kuliko bidhaa zingine Kwa ajiri ya kupata nishati!
Ndo mana hivi Karibuni Makampuni Makubwa yameanza kujileta Tanzania! Wiki mbili zilizopita Makampuni ya Exon Mobil yalifanya kikao na Waziri Makamba.
Juzi hapa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa ya Gesi na Mafuta ya Shell ya Uholanzi kafanya kikao na Rais Samia.
Vikao hivi bila shaka ni vya makampuni haya kujaribu kupata nafasi ili yapewe nafasi ya kufanya biashara hii Tanzania. Kusema kweli huu ni upepo mzuri kwa Mama Samia maana haya yanatokea chini ya uongozi wake!
Rais Samia akikaa vizuri kwenye Mazungumzo na watu hawa na tukaingia mikataba mizuri nadiliki kusema Mradi huu wa LNG ndo utakuwa mradi wa kipekee na faida zaidi kwa Tanzania na Watanzania kuliko mradi wowote uliowai na utakaowai kuja kufanywa Tanzania.
Dunia inahitaji Kweli Gesi na wako kwenye panic state ya kupata fursa ya kuchimba na kuuza Gesi. Tanzania ikicheza vizuri hapa , hata Tozo za simu tutaachana nazo.
Wito wangu kwa Mama Samia! Hii ni kete adhimu, una bahati sana, itumie vizuri hii nafasi na hutasahaulika kwa Watanzania vizazi na vizazi!
View attachment 1967292
Nafikiri wewe ndo unaesumbuliwa na Elimu duni.Unasumbuliwa na elimu duni. Hujui hata matumizi ya gesi inayozungumziwa ni kitu gani. Ifikiwe wakati hapa JF iwe ni sehemu ya kuuliza na kuelimishwa badala ya kujidai kuleta taarifa au habari ambayo huijui na hujawahi kuisikia.
Maelezo ya CNN hayana uhusiano na Samia au unachokieleza ukiunganisha na Samia. Jisomee tena.Nafikiri wewe ndo unaesumbuliwa na Elimu duni.
Sijaandika stori yangu Ila nimeandika na kuweka source ya Habari kutoka CNN international desk.
Wewe mwenye akili duni endelea kupingana na CNN International Desk
Siku hizi umekuwa mjinga kupindukiaAmani iwe nanyi wadau,
Huko soko la dunia hapatoshi! Bei ya Mafuta na Gesi inazidi kupanda kwa Kiwango cha kutisha.
Haya yanatokea huku Ulaya na Marekani kukiwa na uhaba wa bidhaa hii adhimu kiasi kupelekea Makampuni ya Gesi na Mafuta kuamka mbio kutoka usingizini na kuanza kufufua zile fursa walizokuwa wamezitupa kando kwa miaka karibu 6 mpaka 7!
Ulaya walipokuwa wanategemea nishati mbadala sasa wameona hawawezi tena kwenda bila gesi! Baridi inayoongezeka Ulaya inafanya Gesi kuhitajika zaidi kuliko bidhaa zingine Kwa ajiri ya kupata nishati!
Ndo mana hivi Karibuni Makampuni Makubwa yameanza kujileta Tanzania! Wiki mbili zilizopita Makampuni ya Exon Mobil yalifanya kikao na Waziri Makamba.
Juzi hapa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa ya Gesi na Mafuta ya Shell ya Uholanzi kafanya kikao na Rais Samia.
Vikao hivi bila shaka ni vya makampuni haya kujaribu kupata nafasi ili yapewe nafasi ya kufanya biashara hii Tanzania. Kusema kweli huu ni upepo mzuri kwa Mama Samia maana haya yanatokea chini ya uongozi wake!
Rais Samia akikaa vizuri kwenye Mazungumzo na watu hawa na tukaingia mikataba mizuri nadiliki kusema Mradi huu wa LNG ndo utakuwa mradi wa kipekee na faida zaidi kwa Tanzania na Watanzania kuliko mradi wowote uliowai na utakaowai kuja kufanywa Tanzania.
Dunia inahitaji Kweli Gesi na wako kwenye panic state ya kupata fursa ya kuchimba na kuuza Gesi. Tanzania ikicheza vizuri hapa , hata Tozo za simu tutaachana nazo.
Wito wangu kwa Mama Samia! Hii ni kete adhimu, una bahati sana, itumie vizuri hii nafasi na hutasahaulika kwa Watanzania vizazi na vizazi!
View attachment 1967292
Dogo nini Kitazuia yale ya mikataba ya madini yasijirudie kwenye gasi,Mikataba ndo kila kitu
Tuandae mikataba yetu na namna tunavyotaka biashara hii iendeshwe huku tukishiriki kwenye sehemu zote nyeti!
Hapo ndo tutahakikisha nchi yetu inanufaika Kweli!
Kwenye hili tunaweza kuwa nchi ya mfano Africa na hata duniani kwa kuingia mikataba Bora inayonufaisha watanzania na Taifa kwa ujumla
Umeishia darasa la ngapi?Maelezo ya CNN hayana uhusiano na Samia au unachokieleza ukiunganisha na Samia. Jisomee tena.
Jiheshimu dogoDogo nini Kitazuia yale ya mikataba ya madini yasijirudie kwenye gasi,
acha mihemuko kijana
Nakurekebisha kijana umepoteza uwezo wa kufikiri,Jiheshimu dogo
Kwani nini kimefanyka kukufanya useme makosa yaleyale yanajirudia?Nakurekebisha kijana umepoteza uwezo wa kufikiri,
acha ushabiki njoo tujadli uhalisia wa mambo, Sasa nini kimebadilika Ili makosa yale yasijirudie tena