sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa inavyoendelea Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushaweishi zaidi kuliko Majaliwa
Hii haiwezi kuleta mkanganyiko ??
Kuna mgogoro unatengenezwa makusudically kisa DPWNaona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa inavyoendelea Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushaweishi zaidi kuliko Majaliwa
Hii haiwezi kuleta mkanganyiko ??
Ametoa kauli gani nzito tuipimeAna nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushaweishi zaidi kuliko Majaliwa
Wewe inakuhusu nini? Kwani hujui Kwa ni msaidizi wa PM?Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Hii haiwezi kuleta mkanganyiko ??
Upumbavu.Kwahy?Majaliwa atabaki kuwa Majaliwa na Biteko anabaki kuwa Biteko.Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Hii haiwezi kuleta mkanganyiko ??
Mbona wewe ni mchambuzi mzuri ,imekuwaje ?!!![emoji1787][emoji1787]Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu
Majaliwa analindwa na sungusunguNaona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu
[emoji7][emoji7]Bitego kasema tatizo kubwa ni kwamba Watanzania tunafikiri personality kuliko kazi. Badala ya kuulizia kazi yake na majukumu ya naibu waziri mkuu unatumia muda kutafuta drama[emoji848][emoji23] hao ndiyo wabongo
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]