Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

Rais anataka kura za wasukuma.

Rais kagundua kua sio rahisi ku ignore kanda ya ziwa, unatafta matatizo makubwa.

2030 lazima rais atoke huko.
Kwa taarifa yako wasukuma tunajuana kwa mila,desturi na utamaduni wetu,biteko ni mtu wa kanda ya ziwa,lkn sio msukuma.na hana ushawishi kanda ya ziwa.
 
Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu

Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.

Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.

Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa

Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa

Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu
Vilaza hatuja kuelewaa,wekamoo tunyama nyamaa.
 
Kimsingi Baraza la mawaziri limevunjwa wiki iliyopita hiyo akina Jerry slaa wamelamba uwaziri

Majariwa kwasasa kivuli Kuficha yaliyomo
 
Back
Top Bottom