Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
Mshambaaa huyo mshambaaa 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mipasho! Jikite kwenye kujibu swali. Na kama huna uwezo wa kulijibu, pita kushoto.Embu ka kimya ...naona ukishapata hicho kijimshahara unaona umefika
Kwa taarifa yako wasukuma tunajuana kwa mila,desturi na utamaduni wetu,biteko ni mtu wa kanda ya ziwa,lkn sio msukuma.na hana ushawishi kanda ya ziwa.Rais anataka kura za wasukuma.
Rais kagundua kua sio rahisi ku ignore kanda ya ziwa, unatafta matatizo makubwa.
2030 lazima rais atoke huko.
Vilaza hatuja kuelewaa,wekamoo tunyama nyamaa.Naona tutarudi kule kipindi cha 1995, Waziri mkuu akiwa Msuya lakini watu walimtambua zaidi Mrema aliekuwa Naibu waziri mkuu
Kwa ninachokiona kwa hali ya sasa Dotto Biteko anaonekana ndie waziri mkuu zaidi kuzidi Majaliwa.
Yani hata ulinzi anaopewa tu sio kitoto.
Ana nguvu ya kutoa kauli zaidi ya Majaliwa
Ana ushawishi zaidi kuliko Majaliwa
Naona meza yaweza kupinduliwa Majaliwa awe Naibu na Biteko awe waziri mkuu