Ni kama Dotto Biteko kaanza kupewa heshima zaidi ya uwaziri mkuu kuzidi Majaliwa, hii haiwezi kuleta msuguano?

Mama kataka uongozi wake anatumia kitabu cha mwinyi na kikwete naona ndo anamina vina better script jinsi ya kuendesha the presidency.
But how about time lapse factors .
 
Biteko huyu huyu juzi tu si kapewa maagizo na waziri mkuu kuhusu mafuta
 
Bitego kasema tatizo kubwa ni kwamba Watanzania tunafikiri personality kuliko kazi. Badala ya kuulizia kazi yake na majukumu ya naibu waziri mkuu unatumia muda kutafuta drama[emoji848][emoji23] hao ndiyo wabongo
Ok..
Tuambie wew...kazi za naibu wazir mkuu Sasa maana naona jamaa anachokiaena aujaekewa kabisa
 
Bitego kasema tatizo kubwa ni kwamba Watanzania tunafikiri personality kuliko kazi. Badala ya kuulizia kazi yake na majukumu ya naibu waziri mkuu unatumia muda kutafuta dramaπŸ€”πŸ˜‚ hao ndiyo wabongo
Tusaidie hiyo job description ya naibu waziri mkuu hapa na citation yake kwenye Katiba ya jmt mkuu.
 
Ndo Nia ya waliobuni Cheo hicho Cha mchongo.
 
Haya ni mtaokeo ya rais mbabaishaji asiyejua anachopaswa kufanya kikatiba. Majaliwa angeanza kutafuta kibarua kingine kwa sababu alikuwa mtu wa karibu wa mwendazake japo na huyu anayemtesa naye alikuwa hivyo japo ameonyesha kuwa kigeugeu hasa baada ya kumtoa kafala Ndugai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…