Sio kweli. Hakuna watu wanaoitwa Wapalestina. Palestina ni eneo la ardhi. Na eneo hilo ndilo liliitwa zamani Israel. Warumi walipowapiga Wayahudi mwaka 70 BK wakaamua kuibadilisha hiyo nchi na kuiuta Palestina. Hivyo tangu mwaka 70 ndipo eneo liliitwa Palestina lakini wenyeji wake walikuwa mchanganyiko wa Wayahudi na makabila mengine. Eneo hilo limekuwa uwanja wa vita tangu enzi na enzi. Eneo hilo liliwahi kuwa chini ya himaya mbalimbali hadi 1914 lilipochukuliwa na Uingereza kuwa protectorate. Kipindi hicho walikuwa wakiishi Wayahudi na Waarabu. Sasa wakati wa kutoa uhuru Waingereza wakagawa nchi mara mbili. Upande mmoja ukaitwa Jordan na upande wa pili ni Palestina . Kukatokea mgogoro baina ya Waarabu na Wayahudi. Waarabu wakidai eneo hilo ni lao na Wayahudi wakidai hilo ni eneo la Israel tangu zamani. Ndipo Uingereza ikaona igawe sehemu mbili. Eneo la Wayahudi na eneo la Waarabu. Wayahudi waliridhia lakini Waarabu wakakataa katakana. Hivyo, Waingereza wakawapa Wayahudi eneo lao na kujitangazia uhuru mwaka 1948. Lakini waarabu ambao ndio hujiita Wapalestina leo Walsingham msituni kupigana vita. Tatizo ni kuwa kila wakipigana wanapigwa na Israel inazidi kujiongezea maeneo. Hii ni kwakuwa hilo eneo ni la Mungu na aliwapa Waisraeli tangu kipindi cha Musa. Na ni Mungu mwenyewe aliyewatoa ktk nchi hiyo baada ya kumuasi. Lakini aliahidi kwenye maandiko kuwa siku za mwisho atawarejesha Israel kutoka mataifa alikowafukuzia. Hivyo tambueni tu kuwa tunaishi siku za mwisho. Yesu Kristo karibu anarudi. Na kadri siku za kurudi kwake zinapokaribia mgogoro wa mashariki utaongezeka. Mwishoni utahusisha mataifa yote!Si rahisi sana kupata taarifa ya uwepo wa taifa la Palestine kabla ya 1948. Historia ya watu hawa imefutwa na kusambatatishwa vibaya. Hawana haki yoyote ya maana ulimwenguni! Wanaopigana kurejesha the so called state of Palestine wamepachikwa jina la magaidi na sio freedom seekers. Ukiinua kimdomo unauawa ! Si ajabu Kuna wazee Wana umri mkubwa kuliko taifa lililoanzishwa mwaka 1948. Wana noti na sarafu za lililokuwa taifa lao.
Too sad.
Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitahi kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Palestina kihistoria ni sehemu ambayo dini zote tatu zine exist kwa muda mrefu tu, kuna wayahudi Palestina kabla hata hawa wayahudi feki hawaja kuja.Nimeona hiyo note pia nimeona maandishi ya Hebrew kwa nini note hiyo imeandikwa kwa lugha ya wayahudi?
Inaitwa british mandate of Palestine, huyo jamaa namfahamu ni mpotoshaji mzuri tu.
Jamaa ana madini sanaInaitwa british mandate of Palestine, huyo jamaa namfahamu ni mpotoshaji mzuri tu.
Sauli, Daudi, solomon na Herodi hawakuwa wazungu bali wapalestina wa zamani proved by Science.Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitahi kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Ana Madini angepotosha jina?Jamaa ana madini sana
Msomi mzuri wa historia huyu jamaaAna Madini angepotosha jina?
Chuo gani ana kazi gani ya kitaalamu? Popoma tu huyo. Kuna possibility kubwa hata sio binadamu.Msomi mzuri wa historia huyu jamaa
Jamaa yupo vizuri sana katika kuelezea haya mambo kichwa sanaChuo gani ana kazi gani ya kitaalamu? Popoma tu huyo.
Sijaelewa point ya swali lako. Ila kiuchache nchi nyingi hazikuwepo kama lengo lango unamaanisha jina ndilo linalofanya nchi iwepo.Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Umetufungia mada.Haikuwepo, Palestina ilikuwa sehemu ya Ottoman Empire
Umejitahidi kunyoosha, tatizo ukiingiza tu dini, unakuwa ushaharibu.Sio kweli. Hakuna watu wanaoitwa Wapalestina. Palestina ni eneo la ardhi. Na eneo hilo ndilo liliitwa zamani Israel. Warumi walipowapiga Wayahudi mwaka 70 BK wakaamua kuibadilisha hiyo nchi na kuiuta Palestina. Hivyo tangu mwaka 70 ndipo eneo liliitwa Palestina lakini wenyeji wake walikuwa mchanganyiko wa Wayahudi na makabila mengine. Eneo hilo limekuwa uwanja wa vita tangu enzi na enzi. Eneo hilo liliwahi kuwa chini ya himaya mbalimbali hadi 1914 lilipochukuliwa na Uingereza kuwa protectorate. Kipindi hicho walikuwa wakiishi Wayahudi na Waarabu. Sasa wakati wa kutoa uhuru Waingereza wakagawa nchi mara mbili. Upande mmoja ukaitwa Jordan na upande wa pili ni Palestina . Kukatokea mgogoro baina ya Waarabu na Wayahudi. Waarabu wakidai eneo hilo ni lao na Wayahudi wakidai hilo ni eneo la Israel tangu zamani. Ndipo Uingereza ikaona igawe sehemu mbili. Eneo la Wayahudi na eneo la Waarabu. Wayahudi waliridhia lakini Waarabu wakakataa katakana. Hivyo, Waingereza wakawapa Wayahudi eneo lao na kujitangazia uhuru mwaka 1948. Lakini waarabu ambao ndio hujiita Wapalestina leo Walsingham msituni kupigana vita. Tatizo ni kuwa kila wakipigana wanapigwa na Israel inazidi kujiongezea maeneo. Hii ni kwakuwa hilo eneo ni la Mungu na aliwapa Waisraeli tangu kipindi cha Musa. Na ni Mungu mwenyewe aliyewatoa ktk nchi hiyo baada ya kumuasi. Lakini aliahidi kwenye maandiko kuwa siku za mwisho atawarejesha Israel kutoka mataifa alikowafukuzia. Hivyo tambueni tu kuwa tunaishi siku za mwisho. Yesu Kristo karibu anarudi. Na kadri siku za kurudi kwake zinapokaribia mgogoro wa mashariki utaongezeka. Mwishoni utahusisha mataifa yote!
Somo la historia lipo kwenye mitaala ya elimu ya Tz, kwa hiyo ukiona watu wanajadili historia flani, usiwaone ni mbulula, ni wasomi wenye akili zao timamu.mbulula za kibongo hata hela ya kula mgogoro, lakini muda wanao kungojera historia ya kale ambayo hata mababu zao haiwahusu....
Acha kunipangia namna ya kujibu. Mwambie aliyeuliza awe na uhakika na anachouliza. Halafu pia hili ni jukwaa huru kama unaona majibu yangu yanakukera pita vileee usiyasome.Mkuu we ni muchknow sana. Haupo tayari kusikia usichokipenda. Fungua ubongo, sikiliza tafakari.
Na Tena usisahau changia maoni yako huku ukiamini kwamba wazo lako si Bora kuliko yote. Ukubali challenge jibu ki ungwana
Kwanza MOTO mmezima naona mnataka kututoa kwenye reli mwambie uyo Jehova wenu azuiwe MOTO Wafadhili wa taifa la mchongo Wamarekan wajumba yao mahospitali yao makanisa yao miundombinu muimu inateketea!!!! nyinyi vip mnaleta mada ya kitoto mkishiba kande yanawapeleka mbio mbio wewe endelea kununua udongo mtoto wajuzi wewe na vimaandiko vyako kawaulize UN watakujibu mana UN wanatambua uwepo wa Palestina na wanatambua Israel ilianzishwa kwenye kipende cha ardhi ya Palestina mwaka 1948 kwaazimio la mwakilishi kutoka uingeleza na siku wanaamia ktk ardhi ile waisrael walikwenda kupitia bahari wakiwa kwenye majahazi kama aya unayaona pale ferry wavuvi wanayatumia kusakia samaki ndio ayoayo waisrael waliyatumia kwenda ktk ardhi ya Palestina kupitia azimio la UN.Maana kila nikifanya research sikuti sehemu yoyote Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme.
Nahitahi kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina iliyokuwa chini ya waarabu