baba-mwajuma usitufanye sisi ni Mazuzu acha kupotosha neno Mzungu umelitoa wapi? Saul,Daud na Solomon walikuwa wayahudi acha kupindisha mambo!! Hiyo Wikipedia yako hata mimi naweza ku edit na kubadili kitu Historia iko wazi kabisa.!!!Sauli, Daudi, solomon na Herodi hawakuwa wazungu bali wapalestina wa zamani proved by Science.
Na neno Palestina linatumika hata kabla Yesu hajaja, kuna evidence nyingi mno, Soma hii article ya Wikipedia
Acha kuzunguka jibu swali la mtoa hoja!!Kabla ya 1948, eneo la Palestina halikuwa nchi moja yenye serikali yake. Lilikuwa chini ya utawala wa mataifa mengine kwa karne nyingi, ikiwa ni pamoja na Dola la Ottoman na baadaye Uingereza. Hata hivyo, eneo hilo lilikuwa na waarabu wengi ambao wameishi huko kwa karne nyingi.
Mawazo hayo ni ya watu waliofirisika kimawazo!!mbulula za kibongo hata hela ya kula mgogoro, lakini muda wanao kungojera historia ya kale ambayo hata mababu zao haiwahusu....
Wikipedia hata wewe una edit ndio, ila mtu yoyote mwenye Akili anajua kama taarifa ni fake ama OG, kila kitu kinatakiwa kiwe backed na sources na hio link ina source za kutosha tu.baba-mwajuma usitufanye sisi ni Mazuzu acha kupotosha neno Mzungu umelitoa wapi? Saul,Daud na Solomon walikuwa wayahudi acha kupindisha mambo!! Hiyo Wikipedia yako hata mimi naweza ku edit na kubadili kitu Historia iko wazi kabisa.!!!
Neno wazungu linaingiaje hapo?Sijaelewa point ya swali lako. Ila kiuchache nchi nyingi hazikuwepo kama lengo lango unamaanisha jina ndilo linalofanya nchi iwepo.
Tukianza hapa nyumbani Mwaka 1963 kurudi nyuma TANZANIA haikuwepo.
Turkey imebadilisha jina na sasa hivi inaitwa Turkiye. Je Miaka kadhaa nyuma Turkey ilikuwepo au haikuwepo?
Mwaka 1935 hakukuwa na nchi inaitwa Iran.
Mwaka 1980 hakukuwepo na nchi inaitwa Zimbabwe.
Palestine ilikuwepo tangu karne kwa kane na jina lake la asili ni Falistin.
Sasa kutokuwepo kwa jina hakufanyi ardhi ya ile nchi haijakuwepo. Kwa sababu unaamini sana wazungu nimekuweka hiyo attachment ya Bbc.
View attachment 3202187
Acha kuchanganya mada na kupotosha unatakiwa Unibudu swali tu hili la wayahudi fake ukiulizwa huwezi kulielezea pia si mada tuliła kwenye reli!!Wikipedia hata wewe una edit ndio, ila mtu yoyote mwenye Akili anajua kama taarifa ni fake ama OG, kila kitu kinatakiwa kiwe backed na sources na hio link ina source za kutosha tu.
Yes walikua wayahudi na pia Wapalestina wa sasa ndio wayahudi wa kale na kuna wayahudi wa sasa ambao uyahudi wao ni wa kubadili dini na Biologically hawana mahusiano yoyote na wayahudi wa kale.
Sababu wazungu sio Wakazi wa middle East na wala hawajawahi kuwa wakazi? Leo akija Mnorway na kuanza kusema Tanzania ni eneo lao la asili si itakua ni kichekesho?Neno
Neno wazungu linaingiaje hapo?
Acha kuchanganya mada na kupotosha unatakiwa Unibudu swali tu hili la wayahudi fake ukiulizwa huwezi kulielezea pia si mada tuliła kwenye reli!!
Ikiwa kulikuwa na watu wanaojiita Wapalestina au hapana, haihusiani na ukweli kwamba kulikuwa na watu wa asili wanaoishi katika ardhi hii bila usumbufu, na Wapalestina wengi wa kisasa ni kizazi cha watu wa kale walioishi katika ardhi hii tangu milenia. . wenyeji ambao wana uhusiano na historia, utamaduni, urithi, lugha, dini, vinasaba na vijiji vya ardhi hiyo.Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitahi kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Rudi njia kuu acha kuchepuka jibu swali maana nao a sasa unataka kutumia kwenye mada tuingie kwenye mambo ambako hayatupa majibu ya mtoa hoja. Kwa hiyo jibu Maswali yakeSababu wazungu sio Wakazi wa middle East na wala hawajawahi kuwa wakazi? Leo akija Mnorway na kuanza kusema Tanzania ni eneo lao la asili si itakua ni kichekesho?
Na nimekuelezea na kukupa ushahidi, na hao wayahudi wazungu (Ashkenazi) kuna ushahidi mwingi tu wa kutosha kuhusu origin yao ya Ulaya wala sio Rocket science Kwamba mtu atashindwa kuelezea.
Na Mabaki ya wayahudi ya zamani yapo kibao hapo Palestina Dna zimeshapimwa na wayahudi wa zamani wanajulikana, sio jambo la kuhisi hisi.
Study ya genetic hio Soma kama shida yako ni kujua ukweli, kama unataka ubishani tafuta wenzako mdanganganyane.
View: https://x.com/MiroCyo/status/1712258026881921287
Mkuu ni KWELI hapakuwahi kuwa na DOLA inayoitwa Palestine...... ila palikuwepo na eneo lililobadilishwa jina na kuitwa PALESTINE na wakaazi wa eneo hilo wakawa WapalestinaMaana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Wayahudi na Waarabu wote walikuwa chini ya Ukoloni wa Muingereza katika nchi iliyoitwa "British Palestine" ni kama vile "Wakuya na Wangoreme" wanavyokaa mkoa mmoja wa Mara..Nimeona hiyo note pia nimeona maandishi ya Hebrew kwa nini note hiyo imeandikwa kwa lugha ya wayahudi?
Wewe unahitaji kutukanwa kwa maana unapewa majibu sahihi ila unaleta ujuaji wa kijinga..Acha
Acha kuzunguka jibu swali la mtoa hoja!!
Tatizo mmelishwa matango Poli kuwa wale ni wayahudi feki na mwarabu. Mwarabu ameaminisha watu kuwa wale ni feki akitaka kuwaingizia ujinga kuwa kizazi Cha wayahudi akipo duniani. Sasa aliyekwambia wale no feki muulize wayahudi wenyewe wako wapi?. Na kama wayahudi ni feki kwanini wapalestina wasewe feki nao?. Maana wayahudi wametajwa katika nchi hiyo vizazi na vizazi pamoja na Wafilisti enzi ya kina Daudi na Goliath. Sasa mpalestina katokea wapi na mwarabu aseme wayahudi no feki?.Palestina kihistoria ni sehemu ambayo dini zote tatu zine exist kwa muda mrefu tu, kuna wayahudi Palestina kabla hata hawa wayahudi feki hawaja kuja.
Hapo ndipo ujinga wa watu ulipo wanadhani kuwa sauli Daudi Suleiman Samson Musa siyo wayahudi. Wakati ni wayahudi. Mkuu ukifatilia wapalestina ni kizazi Cha Wafilisti ambao ndiyo kina goliathi. Ambapo Kuna kizazi Cha wahivi na wayebusi. Lakini wao wanaanzia juu juu hapo kwa matakwa yao kuwapa haki waarabu.baba-mwajuma usitufanye sisi ni Mazuzu acha kupotosha neno Mzungu umelitoa wapi? Saul,Daud na Solomon walikuwa wayahudi acha kupindisha mambo!! Hiyo Wikipedia yako hata mimi naweza ku edit na kubadili kitu Historia iko wazi kabisa.!!!
Mimi au nyie nani kaleshwa matango pori? Mi naleta ushahidi wa Genetics nyie nakuja na matamanio ya nafsi with zero evidence nani anamlisha mwenzie matango pori?Tatizo mmelishwa matango Poli kuwa wale ni wayahudi feki na mwarabu. Mwarabu ameaminisha watu kuwa wale ni feki akitaka kuwaingizia ujinga kuwa kizazi Cha wayahudi akipo duniani. Sasa aliyekwambia wale no feki muulize wayahudi wenyewe wako wapi?. Na kama wayahudi ni feki kwanini wapalestina wasewe feki nao?. Maana wayahudi wametajwa katika nchi hiyo vizazi na vizazi pamoja na Wafilisti enzi ya kina Daudi na Goliath. Sasa mpalestina katokea wapi na mwarabu aseme wayahudi no feki?.
Wapalestina sio wafilisti, wafilisti ni wazungu kama wapalestina ni wafilisti leta ushahidi.Hapo ndipo ujinga wa watu ulipo wanadhani kuwa sauli Daudi Suleiman Samson Musa siyo wayahudi. Wakati ni wayahudi. Mkuu ukifatilia wapalestina ni kizazi Cha Wafilisti ambao ndiyo kina goliathi. Ambapo Kuna kizazi Cha wahivi na wayebusi. Lakini wao wanaanzia juu juu hapo kwa matakwa yao kuwapa haki waarabu.
Kaka awa unaongeanao ni mazwazwa usipe shida ayaelewi yalishavurugwa akili na manabiii wa mchongo ao manabiii walikwenda Nigeria kununua mavumba, iyo mijamaa ipo ipo tu mizwazwa, unapata tabu sana kutoa ufafanuzi mbona awa wazayuni ni kutoka Ulaya ipo wazi kabisa tuje upande wa tabia wazungu wa Ulaya wanapenda kufukuana mitalo je awa wanajiita wayahudi tabiya zao zipo tofaut na wazungu wa Ulaya je awapendi kufukuana mitalo wangekuwa awapendi kufukuana mitalo japo wangeweza kusema sisi sio Wazungu wa Ulaya lkn tabia zao ni zilezile za Ulaya 100% kama wanafafana mpaka tabia zao vip hii mizwazw inataka kuwatenganisha!!!! Awo ni wazungu wa Ulaya ndio mana wazungu wa Ulaya na Marekani wanawasaidia kila kitu sababu ni ktk wao ,, ushoga ulaya kwenye football kila seem kwasasa na uko Israel ndio ivoivo tofaut na watu wa Syria wapalestina Lebanon Iraq Iran kitabia ni tofaut,, na WazunguMimi au nyie nani kaleshwa matango pori? Mi naleta ushahidi wa Genetics nyie nakuja na matamanio ya nafsi with zero evidence nani anamlisha mwenzie matango pori?
Sijasema wayahudi feki ni wote comment yangu inasema wayahudi wazungu ni feki, sababu ni wayahudi by conversion na hawana asili ya Middle East, wayahudi kama Sepharidic na Mizrahi wote wana Dna moja na wapalestina na Dna zao zinafanana na wayahudi wa kale
Hii graph inaelezea vizuri
View attachment 3202636
As you can See Samaritan hapo ndio Dna yao. Kali zaidi kushinda jamii yoyote, Samaritan hawaoani nje ya Jamii yao, so wameweka ku preserve damu yao kwa maelfu ya miaka hawa wana damu ya kale ya Canaanite kwa zaidi ya asilimia 94
Baada yao kuna wapalestina, wasyria, Lebanon, Jordan wakristo pamoja na wapalestina waisilamu hawa pia nadra kuoana nje ya jamii zao wote around asilimia 80 wana Dna za canaanite ya kale.
View attachment 3202639
So watu ambao hawajaondoka hilo eneo Wapalestina, Lebanon, Syria, Jordan etc Dna zao zinafanana na wayahudi wa Kale, ambao wametoka Ulaya na Kuclaim hilo eneo ni lao Dna zao ni za Kuchovya unatafuta ufanano kwa mbaaali.
Si ni mjinga pekee atakataa hayo Mamia ya Studies ambayo yanaonesha kitu kimoja Palestina ni wayahudi wa kale.
Hiyo unayosema ilikuwa territory ya palestina ambayo ndani yake kuna waarabu wayahud wasamaria na druze. Wote kwa pamoja ndio wanaitwa wapalestina. Na ilikuwa inajumuishwa na Jordan. Na Misri walikuwa wanakuja mpaka Gaza. So kile hakuna jamii inayoitwa palestina mzee. Ila ni waarabu, wayahud , Samaritans na druze na jamii ndogo ya mabeedui. So kilicholeta shida ni wayahud waliotawanyika huko dunian miaka mingi kutaka kuwa na taifa lao ilipokuwa historia yao na ikachangiwa na kichapo walichopewa na Hitler. Wakataka popote myahudi akihisi hayuko salama arudi ilipo asili yake. Ndio ugomvi ukaanzia hapo. Kumbuka walikuwa wanakuja kidogo kidogo wananunua majengo na ardhi mpaka walivyokuja kwa wingi kama wakimbizi ndio matatizo yalipoanzia rasmi.Si rahisi sana kupata taarifa ya uwepo wa taifa la Palestine kabla ya 1948. Historia ya watu hawa imefutwa na kusambatatishwa vibaya. Hawana haki yoyote ya maana ulimwenguni! Wanaopigana kurejesha the so called state of Palestine wamepachikwa jina la magaidi na sio freedom seekers. Ukiinua kimdomo unauawa ! Si ajabu Kuna wazee Wana umri mkubwa kuliko taifa lililoanzishwa mwaka 1948. Wana noti na sarafu za lililokuwa taifa lao.
Too sad.