Ni kama sielewi naombeni ufafanuzi, Kumewahi kuwa nchi au falme inayoitwa Palestina kabla ya 1948 inayoongozwa na waarabu kabla ya 1948 ?

Uko stressed sana boss. Kila kitu unachukulia siriaz sana. Siku za kuishi ni chache unajiumiza Bure kujibizana na watu Kwa ubaya.
 
Upotoshaji mwingine ni aibu sana Sauli, Solomoni, wawe wapalestina? aiseee hata kama jamii yenu mnataka kujustfy mambo yenu basi walau muwe na reasoning walau kidogo
 
baba-mwajuma usitufanye sisi ni Mazuzu acha kupotosha neno Mzungu umelitoa wapi? Saul,Daud na Solomon walikuwa wayahudi acha kupindisha mambo!! Hiyo Wikipedia yako hata mimi naweza ku edit na kubadili kitu Historia iko wazi kabisa.!!!
Huyo jamaa ni mpotoshaji mpaka aibu, yaani ukisoma anachoandikaga kuhusu wayahudi/Israel mara nyingi sana ni upotofu yaani ni hadith, ngano, paukwa pakawa.
 
Upotoshaji mwingine ni aibu sana Sauli, Solomoni, wawe wapalestina? aiseee hata kama jamii yenu mnataka kujustfy mambo yenu basi walau muwe na reasoning walau kidogo
Watu wamekaa wamefanya utafiti wao sio. Mtu mmoja sio wawili tafiti zimefanyika Dunia nzima iwe marekani, Ulaya na kwengineko, Tafiti hupingwa na tafiti, wewe ushahidi wako upo wapi wa unachokisema? Ama ndio tukuamini tu sababu umesema? Maana hapa unapingana hadi na watafiti wayahudi wenyewe. Mpaka genetics wa KI Ashkenazi wanakubali hili.
 
Na wayahudi wanavyo ila hamtaki kuwatambua
 
Nashukuru kuthibitisha kuwa Wafilisti ni wazungu na ndiyo walipigana na waisraeli kipindi Cha kina Goliath pale siyo pa waarabu. Mpalestina ndiyo mfilisti.
Huyo jamaa ni mpotoshaji mpaka aibu, yaani ukisoma anachoandikaga kuhusu wayahudi/Israel mara nyingi sana ni upotofu yaani ni hadith, ngano, paukwa pakawa.
Anatamani kusema kizazi Cha wayahudi hakuna duniani Sasa anawaza majibu ya watu yatakuwaje
 
Hilo ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini Waki shin dwa kwenye hoja silaha yao ni matusi tu. Haya sasa ukinitukana utakuwa umejibu swali??
Swali limekuwa la moto sana kwa hao jamaa na inabidi watoe majibu ya uongo ili kujustfy wanayoamini maana wakisema ukweli inawauma so lazima watukane tu.
 
Nimefurahi sana kukuona mzee wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…