Zabron Hamis
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 7,093
- 11,377
Mkuu, nikitaka kuprint noti zenye thamani ya tsh 1,000,000,000 nitakulipa bei gani?Hayo ni makaratasi tu yanaweza kuprintiwa hata hapo kwenye stationary ya mtaani kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nikitaka kuprint noti zenye thamani ya tsh 1,000,000,000 nitakulipa bei gani?Hayo ni makaratasi tu yanaweza kuprintiwa hata hapo kwenye stationary ya mtaani kwako.
Upotoshaji mwingine ni aibu sana Sauli, Solomoni, wawe wapalestina? aiseee hata kama jamii yenu mnataka kujustfy mambo yenu basi walau muwe na reasoning walau kidogoSauli, Daudi, solomon na Herodi hawakuwa wazungu bali wapalestina wa zamani proved by Science.
Na neno Palestina linatumika hata kabla Yesu hajaja, kuna evidence nyingi mno, Soma hii article ya Wikipedia
![]()
Timeline of the name Palestine - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Huyo jamaa ni mpotoshaji mpaka aibu, yaani ukisoma anachoandikaga kuhusu wayahudi/Israel mara nyingi sana ni upotofu yaani ni hadith, ngano, paukwa pakawa.baba-mwajuma usitufanye sisi ni Mazuzu acha kupotosha neno Mzungu umelitoa wapi? Saul,Daud na Solomon walikuwa wayahudi acha kupindisha mambo!! Hiyo Wikipedia yako hata mimi naweza ku edit na kubadili kitu Historia iko wazi kabisa.!!!
Swali la moto kwa KobaazAcha
Acha kuzunguka jibu swali la mtoa hoja!!
Watu wamekaa wamefanya utafiti wao sio. Mtu mmoja sio wawili tafiti zimefanyika Dunia nzima iwe marekani, Ulaya na kwengineko, Tafiti hupingwa na tafiti, wewe ushahidi wako upo wapi wa unachokisema? Ama ndio tukuamini tu sababu umesema? Maana hapa unapingana hadi na watafiti wayahudi wenyewe. Mpaka genetics wa KI Ashkenazi wanakubali hili.Upotoshaji mwingine ni aibu sana Sauli, Solomoni, wawe wapalestina? aiseee hata kama jamii yenu mnataka kujustfy mambo yenu basi walau muwe na reasoning walau kidogo
Na wayahudi wanavyo ila hamtaki kuwatambuaKwani ni lazima muwe na nchi au ufalme ndio mtambulike kwamba hiyo ardhi ni mali yenu.
Wanaweza kuwa TAIFA. Na wasiwe na nchi. Kama ilivyo sasa. Kuna taifa la palestina. Na taifa ni mkusanyiko wa watu wenye lugha, tamaduni, mila na desturi zinazofanana.
Palestina hivyo vyote wanavyo.
Nashukuru kuthibitisha kuwa Wafilisti ni wazungu na ndiyo walipigana na waisraeli kipindi Cha kina Goliath pale siyo pa waarabu. Mpalestina ndiyo mfilisti.Wapalestina sio wafilisti, wafilisti ni wazungu kama wapalestina ni wafilisti leta ushahidi.
Tafiti mbalimbali za Mabaki ya Wafilisti zinaonesha walitoka Ulaya
![]()
Who Were the Philistines, and Where Did They Come From?
The Philistines are best known from the Bible as the Israelites’ enemies, but they were much more than that.www.biblicalarchaeology.org
![]()
Ancient DNA reveals the Biblical-era Philistines originated in Europe | Science News
A mysterious Biblical-era population may have fled Bronze Age calamities.www.sciencenews.org
Kuna studies kibao Wafilisti wametoka Ulaya na wewe unaweza uka toa ushahidi wako kwamba walikua ni Wapalestina?
Anatamani kusema kizazi Cha wayahudi hakuna duniani Sasa anawaza majibu ya watu yatakuwajeHuyo jamaa ni mpotoshaji mpaka aibu, yaani ukisoma anachoandikaga kuhusu wayahudi/Israel mara nyingi sana ni upotofu yaani ni hadith, ngano, paukwa pakawa.
Hilo ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini Waki shin dwa kwenye hoja silaha yao ni matusi tu. Haya sasa ukinitukana utakuwa umejibu swali??Wewe unahitaji kutukanwa kwa maana unapewa majibu sahihi ila unaleta ujuaji wa kijinga..
Swali limekuwa la moto sana kwa hao jamaa na inabidi watoe majibu ya uongo ili kujustfy wanayoamini maana wakisema ukweli inawauma so lazima watukane tu.Hilo ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini Waki shin dwa kwenye hoja silaha yao ni matusi tu. Haya sasa ukinitukana utakuwa umejibu swali??
Nimefurahi sana kukuona mzee wanguHapo sasa ndipo patamu hata mimi nilikuwa nataka hiyo Palestina ya waarabu rais au mfalme wao wa kwanza alikuwa nani? Na Mipawa ya hiyo nchi ilikuwa inapakana na nchi Gai? Na Sarafu yao ilikuwa inaitwaje? Je Dinnar,Shekel au Shillingi??? Na mimi nasubiri majibu yangu!!!!
Nimerudi tena!!Nimefurahi sana kukuona mzee wangu
Karibu sana mzee wangu, kinanda chako bado kipo ni kizima....?😀😀Nimerudi tena!!
Kimechoka sana natafuta kingine nisaidie kukitafuta ukipata nijulishe nikinunue!!Karibu sana mzee wangu, kinanda chako bado kipo ni kizima....?😀😀
Maana nimechoka kufanya research siikuti Palestina iliyowahi kuwa nchi au Falme ikiwa chini ya waarabu
Nahitaji kuoneshwa Falme iliyoitwa Palestina na mfalme alieiongoza kama ilivyokuwa kwa Israel ya wayahudi chini ya Mfalme Sauli, Daudi, Solomon, Herodi, n.k.
Mimi ni Roman Catholic..Hilo ndilo tatizo kubwa la Wafuga Midevu na Majini Waki shin dwa kwenye hoja silaha yao ni matusi tu. Haya sasa ukinitukana utakuwa umejibu swali??
Basi utakuwa mjinga na Mpumbavu kabisa!!Mimi ni Roman Catholic..