Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ulimchangia mtaji hadi uoji acha uchawi Irene
 
Hizo ni sehemu ambazo hazina mzunguko wa pesa ...kwa mtu makini kama vunja bei sidhani kama hakulijua Hilo,ninavohisi nguo sio biashara yake kuu.
 
Ilo duka la iringa upande wa kuingilia dukani upo nyuma ya barabara kuu yaani ni kama wewe ulipiga picha nyuma ya duka.

Lakini ukija kwenye point ya msingi ulichikiongea kina ukweli, kuna siku moja katika kupiga story na washkaji nikauliza hivi vunja anapataje faida dukani kwake, maana ukifanya makadirio ya gharama za uendeshaji ni kama hazifiki revenue.

Na ksa uzoefu wangu biashara za nguo na kumbi za starehe huwa zinapanda na kushuka baadae zinapotea kabisa baada ya wateja kuamia sehemu nyingine., miaka ya nyuma pale sinza africa sana kulikua na zizu fashion alikimbiza sasa hivi kapotea.
 
Hyo n sehem ya biashara hata makampun makubwa pia kuna nyakati hisa zao znashuka hadi kutishia kufirisika lakn wana tafuta alternative wana nasua company na ku survive again, he will rise again and may be he will shine more than before #hustling brother
 

Tajiri wa mtandaoni au tajiri wa mfukoni? Maana kuwa tajiri si kazi nyepesi
 

Wabongo wengi hawana mental capacity to comprehend mambo mazito. Wanapenda majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
Umeongea ukweli mkuu mbona watu tunasema sikuzi kampuni ya simu ya Nokia kama imekufa inamaana tuna chuki na wivu na simu za Nokia?
 
We jamaaa bana ilo duka milanho yake inayotumika iko upande wa pili barabara ya uhindini upande huu huwa hakufunguliwi
 
Great idea,vijana wengi waliothubutu wanapaswa kushikwa mkono na serikali.Hii inafanyika nchi zote duniani.
Hawa kina Vunja bei,Diamond,majizo,wa efm,kiba n.k washikwe mkono kwa faida ya mapato ya serikali na ajira za vijana wengi walioajiriwa nao
 
Mimi nimekaa pale mwanza
Mimi nimekaa white Lodge gorofa ya nne opposite na Vunja bei siku zote tano sijaona mteja hata mmoja, wallah Mimi sipendi mtu afirisike napenda mtu awe na nuru ya mapato,lakini hali sii shwari kwa biashara zote.
 
Great idea,vijana wengi waliothubutu wanapaswa kushikwa mkono na serikali.Hii inafanyika nchi zote duniani.
Hawa kina Vunja bei,Diamond,majizo,wa efm,kiba n.k washikwe mkono kwa faida ya mapato ya serikali na ajira za vijana wengi walioajiriwa nao
Ni kweli. Hata zile hela za BBT wangewezeshwa vijana walioonyesha uthubutu kwenye kilimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…