Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ila biashara 🙌🙌🙌. Kuna kipindi ilinikataa ikaniletea msongo wa mawazo Sina hamu. Ni vile tu sikuwa na alternative ikabidi nikaze tu.
Yani hakuna kitu rahis..nami nilipitia business downfall ila kwa kukosa maarifa na uchanga na uoga nikafeli nikajikutabzero nikajikuta disputes na wateja ambao pesa zao zilipotea kwenye michakato ya biashara..weee nitakuja kusimalia hapa
 
We una matatizo ebu nenda sinza kwanza ukatoe tongo tongo maduka yapo mawili na yamesimama vizuri
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
 
Hatari... ila duka hili la Iringa mlango wa mbele ulizuiliwa tangu lilipofunguliwa kwasababu duka liko barabarani sana I guess kwahiyo watu walikua wanaingilia upande wa nyuma wa hilo jengo sasa sijui kama ulifanya uchunguzi juu ya hilo na ukathibitisha juu ya kufungwa kwake au still bado liwazi ila watu wanaingilia upande wa nyuma.
 
business strategy yake sijawahi kuikubali... kushusha bei kuwin wateja...
Hata yeye hajawahi shusha bei. Wafanyabiashara wamekuwa wakitupiga mno. Kuna raba niliona anauza 20k ila mchina anakuuzia hadi Tsh 4000. Kodi na usafirishaji haizidi Tsh 3500. Kama gharama jumla ni Tsh 7500 kwanini auze 20k? Ni upigaji kufuru.
 
sikuelewi au hueleweki..we unakuta market price fulani unaenda kuoder limzigo likubwa ili upate discount kubwa.... ukija kuuza unauza chini ya wale uliowakuta kwenye market price yao unavunja marginr yao ya profit...angetembea na bit..alichokifanya ndio watu wanakifanya sasa wanaungana....
 
Wewe ni mtu mjinga sana. Sasa ulitaka awahurumie kisa hawawezi kuagiza mzigo? Kwenye biashara hakuna huruma.
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Mbeya kubaya ivi Bora hata Ikungi
 
Unapata wapi kufuatilia mada ya mtu, si uanzishe ya kwako. Unapata wapi muda wa kutumia JF ya Maxence Melo, si uanzishe yako utype mkono wa kulia na ujijibu mkono wa kushoto.

Si twende hivyo eti?
Nyoko sana wewew🤣🤣🤣🤣si kwa majibu haya 🤣🤣🤣🤣
 
Hata la sinza pale wateja wamepungua vibaya mno. Wataalam wanasema jamaa kapigwa "Juju" hasa na mmoja ya mademu alietoka nae akamuacha
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Kumbee, ndomana alivyosifiwa majuzi kadhani andhihakiwa....
 
Back
Top Bottom