Mimi mwenzenu hiz habar hata sizishangai, biashara ilinibamiza last season, investors wakajichomoa, nikaona nikaona wala isiwe tabu, uzur akil inachaji fasta, nika retreat haraka sana, nikahamisha ofisi posta nikavusha kigamboni (nikapangua OC za kodi), nikaona isiwe tabu nika punguza wafanyakazi wa in house from 3 to 1 .
NIka settle, nikaanza ku patner na other biznes kwenye masoko . Ilikua tough but atleast naanza kutulia sasa na hata balance kwa akaunt inaanza kuonekana not like before.
Kufilisika kuna funzo kubwa sanaa kwenye biashara ,tena funzo muhimu sanaa labda uwe kichwa kigumu wa ku learn lessons. Kwa kifupi i appreciate the fact that nimepita kwenye hiyo hatua. Ni muhim sana na ninaona dalili za kurud upya tena vizur 😂