Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

"Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa
mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine."


Ukisoma namna alivyowasilisha utabaini dhamira. Inaoneka hilo duka lililofunguliwa kwa "mbwembwe" lilimuumiza sana na aliisubiri hii siku kwa ham
Ukishaona mfanyabiashara mkubwa anaanza anajisogeza kwenye chama chetu kupata kafavor ujue akili ya biashara imeshaanza kushuka. Huyo mwisho lazima biashara iyumbe
 
Ukishaona mfanyabiashara mkubwa anaanza anajisogeza kwenye chama chetu kupata kafavor ujue akili ya biashara imeshaanza kushuka. Huyo mwisho lazima biashara iyumbe
Majina kwenye plate number ameng'oa usicheze na biashara uchanganye na siasa. Wanasiasa wanakukula hela yote mpaka ufilisike. Atulie aachane na siasa za kijinga maana yeye bado hajakua kama akina mzee Kishimba atulie aweke base na aache sifa za kijinga media kila siku oooh sijui nilikuwa nakula ugali kwa ndimu so what? Piga kazi kausha kwa yeye aliyepata bahati ya kishika channel asiichezee wengi tunazitafuta hizo channel yutulie kimyaaaaa.
 
Jamaa mshamba sana huyu,,

Tulimuonya kuhusu madada wa mjini akashupaza shingo.

Kiko wp sasa?sasa?

Alishawahi kusema kwamba bila kuombwa pesa na mpenzi wake anajiona kama hapendwi.,
Wanaume tuwape pesa mademu zetu bila kutuomba.
 
Alipokua anafanya vizuri haukuja na picha za maduka yake aliyofungua hilo Duka limefungwa bila kujua sababu umekimbilia kutoa hadi picha hapa mtu mweusi umeonyesha rangi yako halisi.
Kufanya biashara Tanzania ni kazi sana bora hata kuchimba madini maana wapo jamaa wanakuja na makadirio makubwa kama waliweka mtaji..
 
Jamaa mshamba sana huyu,,

Tulimuonya kuhusu madada wa mjini akashupaza shingo.

Kiko wp sasa?sasa?

Alishawahi kusema kwamba bila kuombwa pesa na mpenzi wake anajiona kama hapendwi.,
Wanaume tuwape pesa mademu zetu bila kutuomba.
Mwandende ndio matumizi ya pesa kwa wenye pesa wacha wahonge mji upendeze bhana..
 
FB_IMG_1725676370479.jpg
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Kwa Tz ni jambo la kawaida, mtu anazuka, na kupotea kibiashara!
 
Back
Top Bottom