Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Biashara bila ubunifu ni hatari sana,alitakiwa kujiongeza kuuza vitu kutokana na eneo,mfano ukiwa mkoani uza nguo hata za elfu 5 means product utakayotoa china ilenge hivyo lkn ukipita maduka yake yote bei moja wkt watumiaji ni tofauti
 
Kwa Iringa umechemka mkuu. Duka lipo wazi siku zote, hapo ulipoona na kupiga picha ni barabara kuu ya lami ndiyo kuna bango. Duka linapatikana upande wa nyuma kwenye hilo jengo, tena lipo full. Punguza uchawi kwenye biashara za watu.
 
Kwenye hiyo picha hapo mbele huwa panauzwa maziwa miaka yote
Duka la vunjabei lipo upande wa nyuma ya Hilo jengo. Labda ungezunguka ukapige picha upande ule kuliko kuleta taarifa za uongo na kujifariji kuwa jamaa anafilisika
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Ugonjwa umeenda mpaka kwa jirani zake
 
Teh teh kupambania vidosho na Domo sio kazi rahisi hasa Ukiwa Mshamba uliye kuja mjini juzi na Mwenge umebeba fuko lako la fedha uliopata baada ya kuuza miti ya mbao.
 
Bora umeongea point.watu humu wanajifanya wazungu kwamba hawafuatilii maisha ya watu.
Mtu Kama vunja Bei ni mfanya biashara mkubwa na ni role model wa wengi...
tunajifunza kupitia kwake Sasa kwa Nini asijadiliwe.?
Wengi ni wanafiki. Kufilisika kwa Vunjabei ni pigo hadi kwa serikali upande wa kodi.
 
Tafsiri mbovu, mtu kufunga duka sio kufilisika, ni kwamba wateja hawatoshi, hivyo kuliko kupata hasara, ni bora kufunga. Anyway, huyo jamaa ana kipi hadi mseme ni tajiri? Ana miliki nini hasa?
 
Dah hiyo picha imenikumbusha mbali sana. Upande wa kushoto wa hilo duka kuna nyumba mbele ina salon, kuna dada mmoja hapo mweupe ana tako la maana anaitwa M... nilimgonga mwaka flan nikiwa safarin iringa kipindi sijabadil mfumo wa maisha yangu. Alikua mtamu sana.. Hakika ya dunia yanapita.

NB
Nisamehe mleta mada mimi kujadil mambo ya watu sipendi ,naona ni kama umbea na mimi siku hiz nimeokoka. Bora niongelee yangu ninayo yajua kuliko ya wengine ya ku hisi hisi. Huo ni usengenyaji na biblia imekataza
 
Mtu mweusi na mambo ya uchumi wapi na wapi. Wazungu na uchumi wao wanazungumzia kukua na kushuka kwa biashara, wanajadili kuhusu inflation, kufirisika, kufa kwa kampuni, bailout, mergers and acquisition.

Sasa mweusi mwenzako akiuliza kwa muelekeo uleule unasema roho ya mtu mweusi. Wahindi, Waarabu, Wachina huwa hawajadili biashara. Au unataka weusi wasifie tu ila wasihoji, sasa si ujiuzie mwenyewe chumbani kwako. Kufungua uite media, mwenendo usiulizwe.
Ahahahah mkuu na wewe kiduka chako bado kinakusumbua?? 😂😂😂.
Kuna mahala ulishaeleza kuhusu hilinkwenye ule uzi wa frame wa bwana matunduizi 😆😆
 
Mimi mwenzenu hiz habar hata sizishangai, biashara ilinibamiza last season, investors wakajichomoa, nikaona nikaona wala isiwe tabu, uzur akil inachaji fasta, nika retreat haraka sana, nikahamisha ofisi posta nikavusha kigamboni (nikapangua OC za kodi), nikaona isiwe tabu nika punguza wafanyakazi wa in house from 3 to 1 .

NIka settle, nikaanza ku patner na other biznes kwenye masoko . Ilikua tough but atleast naanza kutulia sasa na hata balance kwa akaunt inaanza kuonekana not like before.

Kufilisika kuna funzo kubwa sanaa kwenye biashara ,tena funzo muhimu sanaa labda uwe kichwa kigumu wa ku learn lessons. Kwa kifupi i appreciate the fact that nimepita kwenye hiyo hatua. Ni muhim sana na ninaona dalili za kurud upya tena vizur 😂
 
Kwamba hafanyi biashara au issues nyingine zaidi ya biashara ya ulanguzi nguo?
Nalo neno, kuna wakat mwingine mfanya biashara anaweza akawa ana withdraw pesa toka kwenye biashara moja ana inject kwenye biashara nyingine.. hii attempt ni HATAR SANA, narudia tena ni hatar sanaaa, maana usupokua makin unaweza withdraw significant amount ambayo ikashindwa kurud kwa wakat au kama vile ulitegemea, na hali ikawa mbaya mbaya sana
 
Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.

Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.

Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.

Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.

View attachment 3088613
Ni moja ya hatua za biashara yoyote..kuna wakati zinaugua na zinakufa pia..labda said zinasinzia tu mana hilo eneo wapo wanaomkimbiza kimya kimya kama MNADANI KWA JEMBE nk
 
Kiduka cha nini?
I was reffering to this!.
Screenshot_20240907_103418_Samsung Internet.jpg
 
Dah hiyo picha imenikumbusha mbali sana. Upande wa kushoto wa hilo duka kuna nyumba mbele ina salon, kuna dada mmoja hapo mweupe ana tako la maana anaitwa Mwa... nilimgonga mwaka flan nikiwa safarin iringa kipindi sijabadil mfumo wa maisha yangu. Alikua mtamu sana.. Hakika ya dunia yanapita.

NB
Nisamehe mleta mada mimi kujadil mambo ya watu sipendi ,naona ni kama umbea na mimi siku hiz nimeokoka. Bora niongelee yangu ninayo yajua kuliko ya wengine ya ku hisi hisi. Huo ni usengenyaji na biblia imekataza
Sasa mkuu hapo kwa Code hii Kuna watu wa maeneo hayo au waliowahi kuishi hapo si watakuwa wanamjua! Huoni Kama unakuwa unamdhalilisha?
 
Back
Top Bottom