Ndio akili za wabongo hizoBasi umeona rahaa mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio akili za wabongo hizoBasi umeona rahaa mwenyewe
Kweli mkuu. Kutulia na jambo moja kwanza ni muhimu. Jambo likiwa kubwa automatically litazaa jingine.Ni kwasababu ukishaingia kwenye ujasriamali, unajikuta tubmara nyingi circle yako ninya watu wa aina hiyo wanao dealnna mambo tofaut tofaut. So kushauriana au kuhasishana kuingia kwenye biashara nyingine ni rahis sanaa na hapo mdipo mistakes hutokea. Zipo mara chavhe bahat hujitokeza ukaingia kwenye biashara nyingine hata huijui vizuri ila umeshawishiwa tu na wewe pesa ipo ukaamua kuanza na ukajikuta umepasua ile mbaya. Sema sasa hiz huwa nadra sana.. ni vyema ku stick kwenye jambo ukalijua vizur
😂😂😂 Unasema ngoja nianzishe mishe nyingine ili kukuza kipato kumbe unaenda kuzama daah.Hili kosa nililifanya sana wakati ndo nachipukia. Nilikuja kuacha baada ya kujikuta sina kitu na madeni kibao. Kwa sasa nimekuwa mgumu mno kuanzisha kitu kipya. Nikianzisha ni baada ya kufanya utafiti hata zaidi ya mwaka.
Nina jamaa mmoja nilikaa nae kiundugu ila hatuna mawazo sawa. Nilikuwa nampa nauli na hela ya kula nje na hela yake nikaona ananipumzikia. Nikakaa kikauzu akili zake zichangamke.Nimekusoma hapo chief.. all the best
Aahhhh mkuu acha kabisaa, biashara hiz ni hectic ndugu yangu unafikir watu wanapenda bas kufokea watu?? 😂😂😂.
Inatokea tu 😆
Sasa mtu kam huyo utshindwa kumfokea kwel??Nina jamaa mmoja nilikaa nae kiundugu ila hatuna mawazo sawa. Nilikuwa nampa nauli na hela ya kula nje na hela yake nikaona ananipumzikia. Nikakaa kikauzu akili zake zichangamke.
Alikuwa anatamba sn mitandaoni kwamba mwanaume lazima uhonge ,,Mkuu kwa mfanyabiashara kuishiwa kawaida sana huyo alianza kupotea muda kipindi kile aliposhindwa kuwaletea Simba Jezi zao kwa wakati ni bora hata yeye kanusa Utajiri misingi ya kuipata tena anayo na fursa pia..
Tofautisha kufirisika na kuishiwa.Alikuwa anatamba sn mitandaoni kwamba mwanaume lazima uhonge ,,
Kiko wpi sasa?
Hana excuse yeyote ya kujitetea.
Umeshaambiwa duka zima lina suruali 6 na soksi 4Nimenunua suruali dukani kwa vunjabei Iringa miezi miwili iliyopita. Kafunga lini hilo duka?
😂😂😂Umeshaambiwa duka zima lina suruali 6 na soksi 4
Sasa si kama kafunga?😂😂
Mkuu hakuna tofauti yeyote ya kuishiwa na kufliisika.,Tofautisha kufirisika na kuishiwa.
Anaweza akawa amefirisika lakin hajaishiwa. Na hawez kuishiwa afike level yako wewe au mimi
Punje chacheNilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Alitusimanga sana wanaume wa mjni kwamba hatuna pesa za kuhonga wanawake wazuri.Yaani unaanzisha Uzi wa kumsema mtu Kabisa are you serous ? Du ni hatari sana
Kumbe mli mind😂😂😂😂.Alitusimanga sana wanaume wa mjni kwamba hatuna pesa za kuhonga wanawake wazuri.
Kiko wp sasa?
Mimi sina ukaribubna yeye natumia tu logic ya kawaida kwamba kwa mfanya biasharabkama yeye si rahis sana kufika hatua ya kuishiwa kiwango hicho unachifikiri wewe.. ila probably wewe unaweza ukawa unamjua in person so nisikubishie piaMkuu hakuna tofauti yeyote ya kuishiwa na kufliisika.,
Kwa kifupi ni kwamba hana pesa,
,tuache maneno ya kujifariji
Hiyo miezi miwili iliyopita wakati nimeenda dukani kwa vunjabei hali haikuwa hivyo. Labda kafirisika ndani ya huo muda siwezi juaUmeshaambiwa duka zima lina suruali 6 na soksi 4
Sasa si kama kafunga?😂😂
Uwezo wa watanzania kwenye fikra ni mdogo sana mimi sijaona kosa la mleta uzi kama naadhi ya watu wanavyomshambuliaJamaa kaona,kalinganisha na ilivokua na akaona Kuna dalili za kufilisika. Nashangaa watu wanamshambulia sijui uchawi,mtu mweusi. Watanzania hatupendi kuhoji na tukihoji tunapewa majibu cheap kama hayo. Kufilisika Kwa duka au biashara sio rocket science,hata duka la mtaani kwako likiwa linakufa unaona dalili. Vunja Bei ni public figure na maduka yake ya nguo ni maarufu Kwanini watu wasihoji?
Bora waganga kuliko hawa wachungaji na manabii. Kuna wakati nilipoteza mwelekeo mzima wa maisha nikaona bora niende kuombeawa. Mchungaji wa kwanza alinipokea vizuri siku ya kwanza na kuniombea ila wakati naaga akaniambia nirudi wiki inayofuata na bahasha ya sadaka angalau 20k. Nikaona fresh tu. Mara ya pili alizingua alivyoniambia nitoe mchango wa vifaa vya muziki vya kwaya. Kimoyomoyo nikajiuliza huyu K mbona anaanza ishu za kiwaki? Yaani mimi hata kula ya tabu nitoe mchango wa vyombo vya kwaya? Sikurudi tena. Nikaona niende kwa GeorDavie mwenyewe. Nafika Kisongo kumbe kuna utaratibu wa kishenzi kuliko nilivyodhani. Ilikuwa ni kulipa Tsh 500 kuombewa na wasaidizi wake. Mimi nililipa Tsh 500 nikaombewa na kina mama fulani ambao walionekana kama wamepigika kuliko hata mimi. Geordavie mwenyewe ilikuwa lazima ulipe noti ndefu sana kuweza kuombewa nae. Uamuzi wa mwisho ilikuwa kwenda kwa mganga. Kuna mganga mitaa ya kambi ya fisi akaniambia nisijali nitamlipa baada ya kazi ila nimletee vifaa vya kazi. Vifaa vingi vilikuwa complicated nikaona bora tupige hesabu nimpe mganga hela akanunue. Kwa hesabu ya haraka ilikuwa zaidi ya laki na sikuwa hata na 10k. Nilikaa chini na kuamua sitaki mambo ya wachungaji wala waganga. Baada kama miaka mitatu nilirudi tena kwenye mstari hadi leo. Wachungaji ninawaheshimu ila najua hawana msaada wowote kwa maskini zaidi ya kuwavuna kidogo walicho nacho.Na ukianza kujihusisha na waganga tu umeshajichanganya....waganga ni waongo tu wataanza kukupa maagizo ya kipuuzi puuzi tu Hadi ufilisike.