Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

lakini mkuu huyo mleta mada yeye hajauliza badala yake ana uhakika..ww soma kichwa cha habari yake mwishoni kaweka nukta.kama lengo lake ni kuuliza why asiweke alama ya swali ?
 
Aisee mna muda wa kupoteza kufuatilia maisha ya watu wakati ya kwenu yamewashinda.. alafu unakauta mtu kama wewe una watoto wanaokuita baba umewaacha nyumbani
 
Hajafilisika,biashara ilikuwa na nguvu kwakuwa yeye ndio alikuwa kashika soko wakati ule,sasa hivi vijana wanatokea mzigo wenyewe China,wanaleta bongo product zenye ubora kuliko hata zake na kwa bei ile ile au pungufu...
 
Jamaa kaona,kalinganisha na ilivokua na akaona Kuna dalili za kufilisika. Nashangaa watu wanamshambulia sijui uchawi,mtu mweusi. Watanzania hatupendi kuhoji na tukihoji tunapewa majibu cheap kama hayo. Kufilisika Kwa duka au biashara sio rocket science,hata duka la mtaani kwako likiwa linakufa unaona dalili. Vunja Bei ni public figure na maduka yake ya nguo ni maarufu Kwanini watu wasihoji?
 
Ndo habari wabongo mnazopenda kusikia
 
lakini mkuu huyo mleta mada yeye hajauliza badala yake ana uhakika..ww soma kichwa cha habari yake mwishoni kaweka nukta.kama lengo lake ni kuuliza why asiweke alama ya swali ?
Hata kama ana au hana uhakika, basi jadili alichosema ni uongo au ukweli kuliko kusema mtu mweusi ana roho mbaya. Sijaona anayepinga kwa hoja na ushahidi kwa kusema Vunjabei bado yuko strong kwenye nguo. Zaidi zaidi naona wajukuu wa waganga ww kienyeji wanamshambulia mleta mada.

Watu wenye akili waliwahi kuijadili Nokia, Siemens, LG kwenye soko la simu. Siemens walidai simu haziwapi faida sana zinakula hela za research bure wakaziacha na wanafanya vizuri kwenye nishati na vifaatiba. LG waliachana nazo wakaendelea na home appliances. Sisi huku mtu kubadili biashara au kufirisika inaonekana ajabu sana na ukijadili unaitwa mweusi wenye wivu. Vilaza kweli
 
shida sio hiyo bali ni kufuatilia kuanzia mbeya, iringa mpaka sinza uhakikishe kama kafilisika kama vile kufilisika kwake kunamfaidisha.
Huo muda wa hiyo research unashangaza
 

..vurugu na makelele kwenye mitandao ndio iliwezesha biashara yake. mimi nadhani sio sahihi kumlaumu kwa alichokuwa akifanya.

..kwa hela na umaarufu aliokuwa amepata Vunja Bei hatakiwi kuishi kwa shida ktk maisha yake yote.
 
Kuna watu huitaji daktari akuambie kwamba wao Wana uguwa kichaa,maana Matendo Yao TU,unajiuliza hivi mtu anapata wapi muda wa kufanya hivi?
 
Unapata wapi kufuatilia mada ya mtu, si uanzishe ya kwako. Unapata wapi muda wa kutumia JF ya Maxence Melo, si uanzishe yako utype mkono wa kulia na ujijibu mkono wa kushoto.

Si twende hivyo eti?
Wee umeenda sido mbeya,iringa adi sinza huo mda ndo najiuliza,mi kuwa jf si sawa na wewe ulizungukia biashara za vunjabei
 
Kwa hiyo unaomba uchunguzi ufanyike, kwa nini Fred vunja bei kafirisika!!??
 
Ni kweli kwa iringa jamaa biashara imefeli ,nguo zake hazina quality na hajaonesha utofuti na wengine waliokuwepo but hajafunga kama ulivyosema.
Mageti ya vunjabei iringa hayapo upande huo uliouonesha wa highway yapo upande wa pili barabara ya uhindini hizo unazoonesha hapo ni frame za watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…