Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Alienda China kwa Mtaji wa Milioni 4 tu. Atarudi tena. Maisha ni mlima na mabonde
 
Si ajabu amembwatukia Mwijaku balaa,Ile ni dalili ya hasira Kwa sababu ya mambo kwenda mrama.
 
ahahah kwahiyo mtoa mada ni mchawi
 
ahahah kwahiyo mtoa mada ni mchawi
 
Basi umeona rahaa mwenyewe
Wewe ndio unawaza hivyo na ndio kilichoujaza moyo wako.

Mtoa mada ametoa taarifa kwa kuwa Vunja Bei ni Mdau Mkubwa kwenye industry ya Wajasiriamali.

Kama alipofungua watu waliandika Vunja bei afungua maduka ya kibabe wewe mwenye roho mbaya unadhani aliyetoa taarifa Vunja bei anafiliska unadhani kuwa amefurahi.

Hizo ndio fikra zenu wafrika.
 
Wakipata kidogo kelele vuvuzela.Lakini wenye nazo Huwa hawana maisha ya mitandaoni na udaku.

DC wa zamani Sasa ana Cheo kipya afanye jambo huyu asije jitundika 😆😆
 
Fanya Yako hachana na ya watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…