Ni kama vile Vunjabei anaelekea kufilisika

Inawezekana ameamua kubadili biashara.
 
Msubirieni baada ya uchaguzi -mnafikir anafanya ujinga kumuweka profile picha Mama Abdul?!! Tenda ya nguo za uchaguzi kuanzia kofia,skafu, tisheti na makolokolo yote yatapitia kwa Jokate,Abdul na Vunja bei, kuanzia designing, production mpaka kusambaza,wakipitishiwa 10bln hawakosi 3 bln.

Ikifika 2026 mtaona matusi yake!!
 
Biashara ya nguo rejereja nayo change motor,wengi wao huwa na biashara nyingine
 
Kufilisika Uongo ila atapitia kipindi kigumu mnoo Nguo za China sio Nguo aisee Niliwahi kununua jinsi kwa Vunjabei nikaapa sitorudia tenaa..Mwenzie sunderland anauza vitu quality from italy au Germany jinsi imenyooka 25k - 30k VUNJABEI anachukua jinsi ya 5k china Lazima anyooke baadae kabisa ndo atakuja kustuka Quality ni bora over price
 
Bila shaka utakuwa ulikuwa kibarua kwenye maduka ya mwajiri wa VUNJA BEI. Haiwezekani ukawa na taarifa ya kila duka
 
Bora umeongea point.watu humu wanajifanya wazungu kwamba hawafuatilii maisha ya watu.
Mtu Kama vunja Bei ni mfanya biashara mkubwa na ni role model wa wengi...
tunajifunza kupitia kwake Sasa kwa Nini asijadiliwe.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…