Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Alipofika kileleni akaingia kwenye ushirikiano na CCM akidhani utajiri wake umetokana na hilo zimwi.Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa mbwembwe nalo lishajifia na kufungwa muda tu.
Hapo Dar duka lake la Sinza nalo linapumulia mashine.
Ni kama vile jamaa kaanza kufilisika mdogo mdogo.
Nimeambatanisha picha za duka lake la Iringa lililofungwa.
View attachment 3088613
Wateja tumeamua kuachana naye ili atumikie ndoa yake na CCM....