PreGE2025 Ni kama Vita ya Kidini inazidi kupamba moto. Kuna kitu hakipo sawa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?
hapa ndipo unapokosea.na kwa taarifa yako wanachokifanya maskofu siyo sahihi.timing is wrong.sidhani kama wametumwa na MUNGU.Sidhani kama taasisi zimesajiriwa kujiingiza kwenye siasa. makanisa yatakapoanza kuchomwa moto msianze kulialia.tusijifariji kwamba EU na USA ni wakristo watatusaidia.look kinachotokea ukraine.ziko dhambi nyindi kwa waumini wa kanisa ambazo wangeweza kuzihubiri kuzikataa lakini hawafanyi hivyo,..na ninawashangaa ,kwani kule kanisani mwizi akiiba huwa mnamtenga? CCM ikiiba kura watakuja kanisani kutubu mtawasamehe kama mnavyowasamehe wezi wengine na maisha yanaendelea.kanisa au mstikiti visitumike kuvuruga amani ya nchi.
ili ilisionekane kama kanisa linamshamburia mwislam ,tafuteni mashehe wampinga rais samia ,otherwise tafisiri ni kwamba mkristo anamshambulia mwislam.timing is totaly wrong
 
Akili ndogo sana hii. Ndogo sana. TEC walivyoikosoa serikali ya Magufuli kiminya demokrasia mbona mashehe hawakusema TEC wanachanganya dini na siasa? Kwani sania serikali yake ina viongozi waislam pekee?
Kukemea uovu wa serikali ambao unaweza kuleta machafuko unahusiana nini na dini ya mtu?
Kwahiyo wizi kura unaomnyima mtu haki yake ya kuchagua kiongozi anauemtaka ukemewe na masheikh tu kwa vile rais ni muislam? Kwanini hamjibu hoja za maakofu mnakimbilia dini tu?
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Maaskofu wakikemea ni sawa, lakini Masheikh wakipongeza ni si sawa! Hii nimeielewa!
 
Akili ndogo sana hii. Ndogo sana. TEC walivyoikosoa serikali ya Magufuli kiminya demokrasia mbona mashehe hawakusema TEC wanachanganya dini na siasa? Kwani sania serikali yake ina viongozi waislam pekee?
Kukemea uovu wa serikali ambao unaweza kuleta machafuko unahusiana nini na dini ya mtu?
Kwahiyo wizi kura unaomnyima mtu haki yake ya kuchagua kiongozi anauemtaka ukemewe na masheikh tu kwa vile rais ni muislam? Kwanini hamjibu hoja za maakofu mnakimbilia dini tu?
KANISA HALIJASAJIRIWA KUKEMEA MAOVU YA SERIKALI MADHABAHUNI.MAOVU YA SERIKALI YANAKEMEWA BUNGENI NA KWENYE MAJUKWA YA SIASA.TANGIA ZAMANI VIONGOZI WA DINI WALIPOJIINGIA KWENYE KUWAKEMEA VIONGOZI WA DINI YALIWAPATIKANA NA MABAYA SANA .

7 Kwa maana Herode alikuwa ameagiza kwamba Yohana Mbatizaji akamatwe, awekwe gerezani. Alifanya hivi kwa sababu ya Herodia, mke wa kaka yake, Filipo, ambaye alikuwa amemwoa. 18 Yohana alikuwa amemwambia Herode, “Si halali wewe kumwoa mke wa kaka yako.”

YESU kama angekataa kutoa kodi naye angekatwa kichwa mapema sana

Yesu Afundisha Kuhusu Kulipa Kodi​

24 Yesu na wafuasi wake walikwenda Kapernaumu. Walipofika huko watu waliokuwa wakikusanya ushuru wa Hekalu[d] wakamwendea Petro na kumwuliza, “Je, mwalimu wenu hulipa kodi ya Hekalu?”

25 Petro akajibu, “Ndiyo, hulipa.”

Petro akaingia katika nyumba alimokuwa Yesu. Kabla Petro hajazungumza jambo lolote, Yesu akamwambia, “Wafalme wa dunia huchukua kila aina ya kodi kutoka kwa watu. Lakini ni akina nani ambao hutoa kodi? Je, ni jamaa wa familia ya mfalme? Au watu wengine ndiyo hulipa kodi? Unadhani ni akina nani?”

26 Petro akajibu, “Watu wengine ndiyo hulipa kodi.”

Yesu akasema, “Basi wana wa mfalme hawapaswi kulipa kodi. 27 Lakini kwa kuwa hatutaki kuwaudhi watoza ushuru hawa, basi fanya hivi: Nenda ziwani na uvue samaki. Utakapomkamata samaki wa kwanza, mfungue kinywa chake. Ndani ya kinywa chake utaona sarafu nne za drakma mdomoni mwake. Ichukue sarafu hiyo mpe mtoza ushuru. Hiyo itakuwa kodi kwa ajili yangu mimi na wewe.”

WHY petro aliuawa na NERO?
Kuuawa kwake kuliamriwa na Maliki Mroma Nero, ambaye aliwalaumu Wakristo wa jiji hilo kwa sababu ya moto mbaya ulioteketeza Roma. Petro aliomba kusulubiwa kichwa chini chini , kwani alijiona hafai kufa kwa namna ile ile kama Kristo.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
 
Hiyo ilikuwa halali kwake kwa sababu vitabu vitakatifu vinatufundisha kuwatiii na kuwaheshimu viongoizi na watawala
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Wee msenge ,amani inatokana na haji.
 
Madini matupu haya umemwaga mkuu. 🧡👍👍.
 
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
hata hujui au ulikuwa hujazaliwa,mwendazake alimnyang'anya uraia kwa sababu ya ukosoaji,Padri Raymond Saba akiwa katibu mkuu wa TEC alitangaza waraka wa maaskofu akanyang'anywa uraia,
 
Dogo utakuwa wa miaka ya 2000s kuja juu. Ungekuwepo miaka ya nyuma hata kipindi cha Magufuli ungejua TEC washawahi pishana na Magufuli. Ungejua kuna wachungaji na mapadre walichunguzwa hadi Uraia wao. Kuwa yawezekana si raia. Wakristo huwa hawana unafiq. Watakuwepo wachache wapuuzi kila sehemu wapo
Walijaribu kumnyang'anya uraia Askofu Niwemugizi
 
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.

Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.

Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.

Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?

Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?

Changamoto ni elimu Dunia au ?

In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?

Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?

Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.

Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.

Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.

Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI

Kama dini yao imekataza kuongozwa na mwanamke ,halafu wao wamekubali na kuinamisha vichwa chini unategemea nini?
 
Ni kama mwaka ule ukimsahihisa Baba Magufuli basi automatically wewe unakua adui wa kabila lile kubwa. Wakati umeongea kwa nia moja tena kwa upendo mkubwa.

Hadi unashangaa hawa wenzangu vipi?
 
Kama dini yao imekataza kuongozwa na mwanamke ,halafu wao wamekubali na kuinamisha vichwa chini unategemea nini?
Islam hasa Quran should be updated . But hii kitu Muslims hawatak kusikia. Kuna verse kama mwizi akiibq akqtwe mkono…. This need update , ni against human rights , mzinifu apigwe mawe hadi afe…. This need to update maana ni ngumu kuoa mke wapili kabla hujaanza kuzini na kumsnitch mke mkubwa. Mashekhe wanaongoza kwa zinaa.

Kuna verses zinasema Hakika Allah hampendi Kafiri…. This needs update maana ni verses ambazo zina entertain Chuki baina ya binadamu…. A true God words entertain love and peace among humans
Kuna verses zina entertain war ….. kama Verse zinazoelezea vita vya Badr kwaMBA malaika wakajitokeza na wakawa upande wa Muslims na kukata vichwa vya makafiri…… verses kama hizi zina entertain Violence kama watu wakiziishi…. It is there fore alot of issues ndani ya QURAN needs to be updated maana kipindi kile kilikuwa ni dark period…..kuendelea kuamini hayo yalikuwa maneno ya mungu ni kuendelea kuji contradict na neno Uislam kama Ustaarabu. Huwezi ku entertain Vita, chuki, ubaguzi huku ukiaminisha wewe ni Ustaarabu

Muslim ukiwaambiwa Quran needs update hawawezi kukuewa.Christianity walitoa agano jipya baada ya kuona agano la kale linasheria ambazo. Kwa sasa zinakinzana na haki na uhuru wa binadamu

Kazi kwenu
 
N
Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
a Huu ndio mziziz ulipoanza mtoa mada kama hujui watu wanahoja kanisa katoliki limeingia Tanzania tar 25/3/21 jee maovu yote yaliopita mbona hawayakusemwa hawajui znz kama walipitishiwa vifaru mcha kitima alizaliwa 2024?
 
Wewe unalijua kanisa katoliki? Umeanza kufuatilia lini matangqazo ya habari. Hakuna mtu aliekuwq muogq wa kanisa kama Magufuli…… hata Shambulio la Lissu kanisa katoliki lililaana, na JPM
aliitwa Chemba na kuulizwa hizi habari zinazosema kunq mkono wako ni za kweli

Tambua Catholic sio mali ya mtu…. Ni institution na inamlolongo mrefu sana. Hawajawahi kuacha kuongea….. ni wewe ndio hujui
 
Back
Top Bottom