mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Ni hujuma tu, na ndio maana kighoma ali malima alivyokuja na mpango wa namba kwa watahiniwa mkamuuaMwalimu wa madarasa ?? Aloishia Lasaba, na Lasaba yenyewe Kwa mbinde kwelikweli
Unadhan kwann shule za Kiislam na Mikoa yenye Waislam wengi ,mnafeli sana mitihan Kidato Cha Nne
Wewe acha kutia aibu hao maaskofu walimkemea Sana Magufuli sijui kwann vijana hamfatilii mamboKipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Mwalimu wa madarasa ?? Aloishia Lasaba, na Lasaba yenyewe Kwa mbinde kwelikweli
Unadhan kwann shule za Kiislam na Mikoa yenye Waislam wengi ,mnafeli sana mitihan Kidato Cha Nne
Nitolee ujinga wako hapa..Utanijua tu, ipo siku
Kuna attitude nime observe kwa MASHEKH na hii haina maana ya UDINI.
Maaskofu wakikemea ukiukwaji wa haki za Msingi …..:Automatically Mashekhe wanaona hii ni attack kwa Samia… hivyo mashekh wengi wanajibu as defensive Mechanism ya Samia.
Ukiwasikiliza vema Maaskofu unaona kabisa ni intellectual……..Haki na Amani lazima viende pamoja.
Samia na CCM hawezi kuwa Mgombea wa haki ikiwa safu ya Tume nzima inapangwa na yeye halafu na yeye ni MSHIRIKI….ni nini hasa hapo kisichoeleweka?
Je kusema kwamba tuboreshe haya maeneo ili Samia nae awe mpinzani wa kweli kipindi cha voting….. huu ni Uvurugwaji wa Amani kivipi Mashekhe wangu ?
Changamoto ni elimu Dunia au ?
In a serious note, ukimtoa Maalim Ponda, sijawahi kuona kiongozi wa Kiislam au tamko la Bakwata kukemea udhalim unaoendelea kwa sasa. Hata kwenye Udhalim wa Ali Kibao… Catholic Institution walilaani,; Bakwata ilikaa kimya!! Shida ni nini Mashekhe wangu ?
Sijaona hata Official letter ya Bwakwata kukemea uvamizi wa Padre Kitima…. Hebu tupeni Tauwil mashekhe , mmekusudia nini?
Ni wakati sasa kuwaelimisha Mashekhe wapate kujitambua…. Wapo hopeless sana na ni kama hawana purpose na objective kwenye hii dunia.
Kama Akhera ni bora ya Dunia basi muondoke hapa duniani mkaishi huko akhera! Maana dunia kwenu ni shahawati za muda tu . Wengine sisi dunia ni kila kitu na haina mwisho…. Kifo ni mwanzo wa maisha na sio mwisho wa maisha hivyo ni lazima tuipiganie iwe ya Haki na Usawa.
Mwisho, wewe mtu mweusi , Uislam na Ukristu na Uyahudi sio dini yako wala sio Chimbuko lako . Hakuna Mungu alieleta Uislam wala Ukristu be assured… Islam and Christianity and Yahudiya ni institutions created by human beings to instill fear and enslave your mind ……pendaneni, ongeeni lugha moja, piganieni haki kwa pamoja mjenge nchi yenu … Msitengane kwa kigezo cha dini.
Ninaungana na Maaskofu pamoja na Catholic institution kwenye kuhubiria Haki ili tuwe na amani ya kweli. Samia hawezi kuwa mchezaji na mpiga filimbi at the same time . Ni UCHAGUZI BATILI
Sasa kama viongozi wenu wa Dini (BAKWATA) walikaa kimya walikaa kimya unategemea nn..!?Wewe uliwahi kuona barua yoyote ya kanisa kukemea masheke kuwekwa ndani au ponda kupigwa, unajua sasa hivi waislamu nao wameanza kuchoka kusemwa ovyo
Nyinyo mitihani mnapewa majibuMwalimu wa madarasa ?? Aloishia Lasaba, na Lasaba yenyewe Kwa mbinde kwelikweli
Unadhan kwann shule za Kiislam na Mikoa yenye Waislam wengi ,mnafeli sana mitihan Kidato Cha Nne
Tatizo lenu sijui akili mliwapa majini..watu wanadai haki..nyie mnasema ni udini..mbona mnakuwa wajinga kiasi hiki.Wewe uliwahi kuona barua yoyote ya kanisa kukemea masheke kuwekwa ndani au ponda kupigwa, unajua sasa hivi waislamu nao wameanza kuchoka kusemwa ovyo
Ni kweli lazima useme hivyo mtoto wa kike, maana kama ajira umekwishaipata na ulikuwa haufiki kileleni sasa hivi unafika kileleni zaidi ya mara saba shida ipo wapi mtoto wa kike eeeeh.Sasa kama wachungaji wanamchukia samia unataka watu wote wamchukie... Hizo ni shida zao mama anatosha
Ni weak sana!Kipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Sasa nyinyi kisomo chenu kimewasaidia nini? Maana kila Ukijamba umeharibu uzu ilhali ukijua umekula maharage na kusababisha tumbo kujaa gesi.Wakatoliki hujifanya wamesoma kuliko waislamu lakini ukiwaona kuanzia maprofesa wa kikatoliki wachungaji manabii na waumini ni wajinga wajinga mazombe utafikiri mazezeta fulani, kisomo chao hakiwasaidii chochote, kanisani wababa wanachapwa fimbo mbele ya wake zao wanatiwa makofi mbele ya wake zao, chooni wanatumia toilet paper, binadamu wao wana muita mungu sanamu la mzungu wanalibusu kanisa zima halafu wanakuambia wana akili shwain, mtoto mdogo wa madrasa anakili kuliko profesa mkatoliki, matajiri wengi waislamu tanzania hii wao wsnajifanya wamesoma kazi kuomba kazi serikalini waibe ndio waisha siku mkatoliki akistaafishwa utamuonea huruma, wanaosomea madrassa pesa wanayo hawahitaji kuajiriwa, wanaishi vizuri kula vizuri, ngoja mkatoliki akupikie pilau utafikiri makande hawajui hata kula vizuri
Mbona Magu walimkaanga vizuri tu hadi wengine wakaanza kusumbuliwa kwa kesi za uraiaKipindi cha JPM hao masikofu walikua wapi mbona kila aina ya ukiukaji wa haki Za binaadamu zilifanywa na JPm, Mkapa aliuua wa pemba wengi pale Mwembe chai mbona hawakulaani chochote..........kuna Udini fulani wa kupinga raisi akiwa muislamu.
Masheikh wengi kichwani hazimo