econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante