Pole Pole katoa ufafanuzi kwamba CCM Vs Vikalagosi yaani kushindana na uliowawekaUkiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Uchaguzi ni jambo serious sana kwenye nchi yyete inayojitambua. Hauwezi kusimamiwa na watu wasiokuwa serious. Tume hawapo serious. Jina kubadilika haimanishi chochote kama tabia na mwenendo ni uleule. Unabadili jina la TUME Bila kubadili matendo ya TUME?75% Hawajawahi kuhutubia mkutano wowote wa hadhara
Tume ya uchafuziUchaguzi ni jambo serious sana kwenye nchi yyete inayojitambua. Hauwezi kusimamiwa na watu wasiokuwa serious. Tume hawapo serious. Jina kubadilika haimanishi chochote kama tabia na mwenendo ni uleule. Unabadili jina la TUME Bila kubadili matendo ya TUME?
Hakuna UchaguziUchaguzi ni jambo serious sana kwenye nchi yyete inayojitambua. Hauwezi kusimamiwa na watu wasiokuwa serious. Tume hawapo serious. Jina kubadilika haimanishi chochote kama tabia na mwenendo ni uleule. Unabadili jina la TUME Bila kubadili matendo ya TUME?
Nisaawa na kuiba mitihani. Kisha unapata div one na kujisifia. Ndo mana Africa haindelei kwetu sisi namba siyo kitu.Hakuna Uchaguzi
Tume ya uchaguzi iliyobadilika jina bila matendo?! Ni UKASUKUTume ya uchafuzi
Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo lenye hasiTume ya uchaguzi iliyobadilika jina bila matendo?! Ni UKASUKU
Mtanzania hasa mwana ccm wake ni UTUMWA BADO. Kumuuza mtu mweusi ilikuwa sahihi Kabisa.Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo lenye hasi
Hata Mpina kawekwa pale na mfumo sio kwamba anapenda agombee nafasi ya urais ambayo anajua kabisa hajafikia hiyo level na anajua hawezi kushinda labda angalau ingekuwa nafasi ya ubunge!Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Hata yeye hakupenda agombee urais ila nahisi ni maagizo kutoka...Nilidhani ingekuwa bora zaidi Mpina kugombea ubunge jimboni mwake, na kama wananzengo wanamuelewa angeweza kushinda na kuleta msukumo Bungeni.