Sidhani kama ni wale mamluki peke yao... Kule ccm ndo kuna episodes nyingi za standup comedy!Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Seriously unawaita hao ni wapinzani!?😂😂😂😂Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Vyama mchepuko vya ibilisi wa ccm sasa chini ya wanufaika wa Udalali wa ccm kitengo cha Amos makala wanakula pesa nyingi toka kwa ccm ili waongee ongee tu ccm wakizani Dunia itaona Tanzania kuna demokrasia ya vyama vingi, kumbe ni vyama vya kizushi vyama legelege matawi ya ccmUkiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Hivyo ni vyama mchepuko wa ccmSeriously unawaita hao ni wapinzani!?😂😂😂😂
Huo ni mradi wa madalali wa Siasa akina Amos makala Mbowe na chawaccm Sugu, wanapiga 10% kwenye mradi huo haramu wa kishetaniYani hizi moves zao sijui nani anaziandaa, ila kiwango chake cha kufikiri kiko chini sana. Hii yote ni ili kutomuwekea kabisa upinzani Bi Mkubwa, ionekane yeye ndio mwenye hoja nzito. Sasa sijui na yeye anajisikiaje kuwa kwenye uchaguzi wa kipuuzi hivi. Au ndio hajali, wako kwenye kuchota tu.
Huo na mradi wa kupiga pesa toka ccmSidhani kama ni wale mamluki peke yao... Kule ccm ndo kuna episodes nyingi za standup comedy!
Kula pesa toka ccm pesa za walipa kodi kwa sasa Sio kulamba Asali huo ni wizi wa pesa za ummaHasa mlitaka wasemeje wakati wakati wamelamba asali ya Zanzibar.Ingieni mtaani kudai haki zenu kwa hoja na kwa wingi.
Uchaguzi huu bila CHADEMA ni full comedy. Hadhi ya uchaguzi mkuu nchini umeshuka hadhi sana chini ya mikakati ya CCM. Kiufupi wao hawajari watachukuliwaje au wataonekaje kimataifa bali wanachowaza ni kushika dola na kuendelea kujilimbikizia mali bila kumjali mtanzania wa kawaida full stop. Kiufupi CCM inawaona watanzania ni mazuzu na mipango inaendelea kusukwa kuwafanya watanzania waendelee kubakia mazuzu kwa faida ya wahuniUkiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
5 x60000000=300000000 itabidi tuchuku Uganda,Kenya,Zambia,Malawi zote ziwe mikoa ya Tanzania na raia wao wote wauwawe.Mwingine kasema "atagawa ekari 5 kwa kila kijana wa Kitanzania "