Vyama pandikizi, vyama mchepuko vya ccm kama chauma ubwabwa ni vyama vya kupigia pesa , wajanja huko ccm huvitumia kula pesa za ccm kwa mgongo wa kuvisaidi kuonyesha Dunia kuwa Tanzania kuna demokrasiaNi wapuuzi na watapuuzwa kwenye kampeni zao. Kwanza hawatafanya mikutano nchi nzima, watapitapita makao makuu ya baadhi ya mikoa na kudai hawana fedha za kuzunguka nchi nzima. Wapi uliona mgombea urais chama chake hakina wanachama ngazi za chini kabisa, atapataje kura wakati chama chake hakijulikani mashinani? Hawa wanasindikiza tu wasitupotezee muda pumbavu zao, wananchi wana kazi za kufanya kupata mkate wao wa siku hawana muda wa kwenda kusikiliza na kupigia kura wapuuzi hao
Kweli ameongea ujinga lakini hesabu yako siyo sahihi!5 x60000000=300000000 itabidi tuchuku Uganda,Kenya,Zambia,Malawi zote ziwe mikoa ya Tanzania na raia wao wote wauwawe.
Vyama mchepuko wa ccm ama vyama pandikizi ama vyama vya mchongo wao ni kula pesa za ccm tu, hawajali wananchi wanawachukuliaje, huu ni mradi haramu wa kishetani unaotafuna pesa za walipa kodi bure na wanufaika wakuu ni madalali wa Siasa akina Makala Mbowe na chawaccmHivi hawa wagombea huwa wanaonaje wananchi? Kwamba ni mazuzu? Wanaendaje INEC kuchukua fomu za kugombea urais wakati vyama vyao havijulikani kwa wapiga kura? Vyama vinajulikana kwa msajili wa vyama vya siasa tu kwa wananchi havijulikani! vingine havina ofisi mikoani na wilayani hadi mashinani, vitapataje ushindi kama si vituko vya uchaguzi? kuna vyama vinaokoteza wagombea ubunge na udiwani mradi tu vionekane vimeshiriki, fomu bure kampeni utajigharamikia, elimu yoyote ruksa kugombea. Uchaguzi wa mwaka huu ni vituko vitupu!
lile liharambee la kifisadi ni la kupata fedha za kusaidia vyama hivyo vya kimamluki kufanya kampeni za kuizuga dunia kuwa kuna demokrasiaVyama pandikizi, vyama mchepuko vya ccm kama chauma ubwabwa ni vyama vya kupigia pesa , wajanja huko ccm huvitumia kula pesa za ccm kwa mgongo wa kuvisaidi kuonyesha Dunia kuwa Tanzania kuna demokrasia
hata kama akirudi madarakani kwa njia za kiharamia chama hicho hakitakuwa na nguvu kama wakati huu chini ya uongozi uliopoMpinzani wa kweli ni chadema pekee ambaye kwa shinikizo la Mbowe kafungwa kamba mikono miguu na kuzibwa uso na barakoa ili Mbowe afanye mapinduzi baadae arejee kwa njia haramu za kishetani kama za Lipumba wa CUF, bila chadema mpya kwenye uchaguzi hakuna uchaguzi halali bali utakuwa uchaguzi hewa feki wa kizushi na maigizo kuihadaa Dunia
mgombea uRais wa upinzani umemwoma wapi? wamemshikilia kizuizini, mwezi wa nne huu.Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Ni huzuni.5 x60000000=300000000 itabidi tuchuku Uganda,Kenya,Zambia,Malawi zote ziwe mikoa ya Tanzania na raia wao wote wauwawe.
Huyu atakuwa amepandikizwa na kijani kibichi kwa strategy kali sana ili isitambulike.Nilidhani ingekuwa bora zaidi Mpina kugombea ubunge jimboni mwake, na kama wananzengo wanamuelewa angeweza kushinda na kuleta msukumo Bungeni.
Mwingine Jana kamodi VX , V8 , 20 kila siku Moja inalipwa 300000 , dereva posho 50000 kila siku, bado mafuta , kila gari itakuwa na watu wanne , watakula kila siku mpaka mwisho wa kampeni , watu wanajiulize hela katoa wapi Mwalimu ? Kama sio kibaraka ?Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Mpina ni project hiyoNilidhani ingekuwa bora zaidi Mpina kugombea ubunge jimboni mwake, na kama wananzengo wanamuelewa angeweza kushinda na kuleta msukumo Bungeni.
Nimemsikiliza Mpina akiongea na wananchi wa jimbo la Kisesa, akiwaomba wamdhamini ktk harakati zake za kugombea urais kupitia chama cha zambarao. Amenishawishi kuwa zile fikra ya kuwa yeye naye ni mradi wa CCM sio sahihi. Ni mpinzani wa kweli akiwa mahali pasipostahili. Hata hivyo sioni akitosha kwa nafasi ya urais.Nilidhani ingekuwa bora zaidi Mpina kugombea ubunge jimboni mwake, na kama wananzengo wanamuelewa angeweza kushinda na kuleta msukumo Bungeni.
Hawa wagombea sijui wanatuonaje Watanzania. Wangejua tunawachukulia kama wana matatizo ya afya ya akili wangekuwa hawasemi ujinga wao.Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Hata Lissu amelipwa kujifanya gaidi na Chadema isishiriki Uchaguzi Mkuu. Chezea tawala wewe!!!Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante
Unafkiri wa NoRnoE wakipewa reform wataongea nini ?Ukiwasikiliza wagombea urais kutokea kambi ya upinzani, ukimuondoa Mpina , ni kama wamelipwa Aidha na CCM au INEC kuongea Comedy ili kuupatia attention uchaguzi. Haiwezekani mtu anagombea urais ili aje azuie vitanda vya SITA kwa SITA au mwingine anadai watu watakuwa wanakunywa maziwa glasi moja kila siku.
Na Cha kushangaza wanapata publicity nzuri sana kwenye vyombo vya habari. Kwa maoni yangu naona ni njama za CCM kufifisha hoja ya No Reforms No Election. Asante