GE2025 Ni kama wagombea urais wa upinzani wamelipwa kuongea Comedy

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi hakuna sheria inayotakiwa kuwabana wagombea wasidanganye wananchi maana hatuwezi kupata viongozi ambao ni waogo heti ndo die anaenda kuongoza nchi
 
Mwingne mwezi July aliulizwa kama atagombea akajibu kuwa kiumri ni mdogo Hawez kutekeleza majukumu ya Rais
Cha kushangaza et ndo kapitishwa na chama chake kugombea
 
Pole Pole katoa ufafanuzi kwamba CCM Vs Vikalagosi yaani kushindana na uliowaweka

Competing against your self or expecting results from what you know

Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo ambalo unafahamu haliwezi kuleta matokeo chanya ni sawa na kufuga mbwa dume halafu utegemee atazaa au jogoo
 
Wagomnea Urais wote comedians...vituko vitupu.
 
75% Hawajawahi kuhutubia mkutano wowote wa hadhara
Uchaguzi ni jambo serious sana kwenye nchi yyete inayojitambua. Hauwezi kusimamiwa na watu wasiokuwa serious. Tume hawapo serious. Jina kubadilika haimanishi chochote kama tabia na mwenendo ni uleule. Unabadili jina la TUME Bila kubadili matendo ya TUME?
 
Tume ya uchafuzi
 
Hakuna Uchaguzi
 
Kutegemea matokeo chanya kwenye jambo lenye hasi
Mtanzania hasa mwana ccm wake ni UTUMWA BADO. Kumuuza mtu mweusi ilikuwa sahihi Kabisa.
Yaani kiongozi wa nchi hajui hata maana ya conflicts of interests? Huyu anajua nn sasa?
Unawaita wafanyabiashara wanaotegemea serikali ili wachangie kampeni za chama hadharani?
 
Hata Mpina kawekwa pale na mfumo sio kwamba anapenda agombee nafasi ya urais ambayo anajua kabisa hajafikia hiyo level na anajua hawezi kushinda labda angalau ingekuwa nafasi ya ubunge!
Sema ndo ivo inabidi afuate maelekezo wamalize hiyo project labda watamfikiria kwenye uteuzi
 
Nilidhani ingekuwa bora zaidi Mpina kugombea ubunge jimboni mwake, na kama wananzengo wanamuelewa angeweza kushinda na kuleta msukumo Bungeni.
Hata yeye hakupenda agombee urais ila nahisi ni maagizo kutoka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…