Uchaguzi 2020 Ni Kanda ya Ziwa ila maji tunapata kwa masaa na unataka tukupigie kura tena?

Hapa chato Hakuna maji ya bomba,watu wanachota maji ya matumizi kwenye ziwa Victoria .Katoro mjini ambayo upo buserere wilaya ya chato ,Hakuna maji ya bomba watu wanachota na kunywa maji ya visima vifupi naziwa Victoria lipo KMS chache tu,Ila hakuna maji.

Sembuse mwanza jiji kubwa. Kupiga Kura mwaka huu lazima mtanzania ujithadhimini Sana kabla hujapiga Kura , tunadanganywa na miradi mikubwa Ila wananchi wanateseka Sana kuanzia chato Hadi mtwara.
Wana chato mkataeni huyu Bwana kuanzia hapo hapo nyumbani.
 
Hapa chato Hakuna maji ya bomba,watu wanachota maji ya matumizi kwenye ziwa Victoria .Katoro mjini ambayo upo buserere wilaya ya chato ,Hakuna maji ya bomba watu wanachota na kunywa maji ya visima vifupi naziwa Victoria lipo KMS chache tu,Ila hakuna maji.

Sembuse mwanza jiji kubwa. Kupiga Kura mwaka huu lazima mtanzania ujithadhimini Sana kabla hujapiga Kura , tunadanganywa na miradi mikubwa Ila wananchi wanateseka Sana kuanzia chato Hadi mtwara.
Kule Chato niliona picha za Kitila Mkumbo mwenyewe amebeba koleo yuko mtaroni akichimba,watu wanajua kujikomba aisee.
EaNjK5lWoAYGOch.jpg
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Buhongwa mtakuwa washirikina mbona Sahwa, Bulale na Nyanembe maji yapo ya kutosha?
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
waambie hao!
 
Nimeshangaa sehemu kama Mwanza. Mfano huku nyegezi ziwa lipo km chache kabisa maji ni shida ati.
Tabora ambako hawako karibu na ziwa Wana maji ya uhakika. Hii ni mbaya sana
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
 
Kwa kweli, bado tuna matatizo lukuki nchi hii. Hapa leo watu wa Mza wameanza kucharuka lakini kila mtu akiamka maeneo yake akianza kutoa kero zake ni nyingi mno mpaka mtashangaa sasa hawa wanaopitaga na kutuaminisha tunaelekea kumaliza matatizo yetu hii awamu ya tano wanatokeaga wapi huko kwao ambapo pako sawa kila kitu?

Shida ni moja, kusema tu ukweli nchi hii wewe tayari unaonekana ni mbaya. Wabunge wetu sio kwamba hawasemi au hawapendi kutaka kutuongelea matatizo yetu ila mfumo unawaminya. Nakupa mfano, kwenye bunge hili hili lililomaliza muda wake Mh Kitwanga mbunge wa Misungwi alisemea jimbo lake na maeneo jirani ya Nyamagana na Magu kuhusiana na shida za maji. Aliongelea kwa uchungu mkubwa sana hata akadiriki kutaka kushika shilingi bajeti ya wizara hiyo lakini kiongozi wa bunge alimtishia kwa kumwambia kuwa asipokubali kupitisha bajeti ile basi hata yeye ataanguka kisiasa, hebu imagine mtanzania kwa style kama hiyo tutapata suluhu ya matatizo yetu bungeni kupitia wawakilishi wetu? Mfumo wetu ni mbovu sana.

Tuanze kwa kuikataa CCM maana wao ndio chanzo cha kuendelea na matatizo haya tuliyonayo watanzania. Mimi tangu mwaka 2000 nilipopata uelewa mzuri niliikataa CCM.
 
Naona wachangiaji ni walewale siku zote
Ona sasa..chato watu hawana maji ila wanataa za barabarani. Na uwanja wa ndege wanajengewa.

Then aseme wapinzani wanatumika na mabeberu wakati ujinga wanafanya wenyewr
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Huwa nayashangaa majitu yanayopigia makofi serikali hii, kuna mambo mengi sana ya hovyo yamefanyika, halafu majitu yanakarirshwa eti Ooh mabeberu, mara sijui wasaliti, mara sio wazalendo.
 
Kule Chato niliona picha za Kitila Mkumbo mwenyewe amebeba koleo yuko mtaroni akichimba,watu wanajua kujikomba aisee.View attachment 1535056
Haps sio chato.chsto hakuna udongo wa mwekundu. Kijiji cha mlimani hakuna mahi ninarudia Tena,wakazi wanachota maji ziwa Victoria
Kwa kweli, bado tuna matatizo lukuki nchi hii. Hapa leo watu wa Mza wameanza kucharuka lakini kila mtu akiamka maeneo yake akianza kutoa kero zake ni nyingi mno mpaka mtashangaa sasa hawa wanaopitaga na kutuaminisha tunaelekea kumaliza matatizo yetu hii awamu ya tano wanatokeaga wapi huko kwao ambapo pako sawa kila kitu?

Shida ni moja, kusema tu ukweli nchi hii wewe tayari unaonekana ni mbaya. Wabunge wetu sio kwamba hawasemi au hawapendi kutaka kutuongelea matatizo yetu ila mfumo unawaminya. Nakupa mfano, kwenye bunge hili hili lililomaliza muda wake Mh Kitwanga mbunge wa Misungwi alisemea jimbo lake na maeneo jirani ya Nyamagana na Magu kuhusiana na shida za maji. Aliongelea kwa uchungu mkubwa sana hata akadiriki kutaka kushika shilingi bajeti ya wizara hiyo lakini kiongozi wa bunge alimtishia kwa kumwambia kuwa asipokubali kupitisha bajeti ile basi hata yeye ataanguka kisiasa, hebu imagine mtanzania kwa style kama hiyo tutapata suluhu ya matatizo yetu bungeni kupitia wawakilishi wetu? Mfumo wetu ni mbovu sana.

Tuanze kwa kuikataa CCM maana wao ndio chanzo cha kuendelea na matatizo haya tuliyonayo watanzania. Mimi tangu mwaka 2000 nilipopata uelewa mzuri niliikataa CCM.
Jimbo la Joseph msukuma anayejiita darasa la Saba Ni darasa la Saba kweli.Jimbo lake lote wananchi hawana waji ya bombs na Jimbo limezungukwa na ziwa Victoria.jimbo lote umeme imeingia kwa asilimia 5, Jimbo nzima halina Barabara ya lami hata kilometa moja.shule hazina matundu ya vyoo,shule hazina madarasa ya kutosha.bado amehonga amepewa Kura za maoni. Hii nchi Ni ya ajabu Sana.jimbo la busanda amepewa Kura za maoni Kurwa biteko pacha wa doto biteko huko busanda Nako Ni Bora pakuche. Hakuna wilaya au Halmashauri hata moja mkoa wa Geita Ina Barabara ya lami nusu kilometa. Tarura wapo,tanroads wapo na Mkuu wa mkoa Ni Engineer na mkoa una Rais na mawaziri wa wizara zote na makatibu wakuu na wengine Wengi.
 
Mimi ni mkazi wa Kanda ya Ziwa ila tunachangamoto kubwa ya maji.

Cha kwanza awamu hii gharama ya maji imepanda sana na maji yenyewe ni ya shida.

Hebu imagine ziwa lipo within 30 km ila maji mnapewa kwa mgao. Kunamaeneo mwanza hii maji yanapatikana usiku tu. Sasa afadhali na uko. Kuna pengine maji yanafunguliwa mara moja kwa wiki.

Hawa wabunge tuliochagua ndyo bure kabisa. Mbali na maji ila barabara vumbi ndyo hovyo kabisa.

Umekaribia uchaguzi ndyo wamezikwangua kihuni huni tu mvua imepiga mara moja tu kwisha mabonde kuinama kama kawaida.

Sasa ni hivi, kura mtapigiwa na mandege mliyonunua.
Wewe acha kutuchota akili hapa, Avatar yako inaonyesha unamhusudu Huyo unayemponda, Halafu unajifanya Bwege ili usikilizie siyo.
 
Too Sad yaani Buhongwa tunaamka tunaona Ziwa huyoooo.Eti halafu kuna shida ya maji. Stupid policies.Halafu kutwa kunyooshea vidole mabeberu. Hivi mabeberu wanazuia msijenge mabomba na kuwa na huduma ya maji yasiyokatika katika ?
Eti mpaka ukerewe kuna shida ya maji!........ udhaifu mkubwa sana huu.
 
Hakuna sehem yenye shida ya maji kwa Tanzania hii kama buhongwa

Back
Top Bottom