Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Maisha yashakua vurumai sana wageni wa siku hizi nao mambo mengi unaogopa hata kuwaacha watoto peke yao kisa mgeni.....wote tu wageni na wenyeji tujue mambo yashakua mengi kuwa mgeni kwa sababu za msingi, shule, matibabu, nk sio tu bila sababu umeamua kwenda kuwa mgeni wa mtu miezi 6+Mbona simpo sana kwa anayekuja na kuondoka lakini anayelala hapo Kuna kachangamoto kidogo, lakini twende mbele turudi nyuma mgeni amekutembelea kwanini umharakishe kuondoka?? Tuwe wakarimu jamani haya maisha tutayaacha, Mali tutaziacha tujali utu kuliko kuwaza mambo yetu binafsi