Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?

Maisha yashakua vurumai sana wageni wa siku hizi nao mambo mengi unaogopa hata kuwaacha watoto peke yao kisa mgeni.....wote tu wageni na wenyeji tujue mambo yashakua mengi kuwa mgeni kwa sababu za msingi, shule, matibabu, nk sio tu bila sababu umeamua kwenda kuwa mgeni wa mtu miezi 6+
 
Tatizo kuna wageni wanakuja bila hata taarifa, na wanachukua muda mrefu, na wewe una ratiba zako ulishaziweka tayari, unafanyaje hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…