Ni kawaida binti wa miaka 13 kuvunja ungo?

Huo ungo alikuwa kaukalia au kaweka vitu vizito hadi ukavunjika?

Jokes aside, ni kawaida na inaweza tokea kabla hata ya hapo...

Kuna mwaka nilisoma habari ya binti wa miaka 12 kupewa ujauzito, hivyo ni muda sasa wa kumlinda mwanenu...
Maombi na kudra za Mwenyezi Mungu..hawa wa kileo ngumu sana kuwalinda
 
Namuonea huruma wahuni watammezesha p2 hadi akomae.Mwenyezi mungu amkuze vyema kaka.
 
[emoji3][emoji3][emoji3] najua mtoa mada alitarajia swali kama hili, mwingine yupo atakuja anadai katiba Mpya, mwingine tozo, yan tafrani tupu!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
tozo zimeacha balaa lisilosemekana
 
Kawaida ni kuanzia miaka 9. Hiyo ni kawaida chief!! Watoto wa kike wanakuwa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…