Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia.
Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh !
Kuna umbea umekuwa kama Series unaenda hadi mwezi najikuta nina shauku ya kumuomba updates naye ananiomba.
SIO POA KABISA.