Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Mwanamke ukishamuweka ndani hupaswi kuonana naye zaidi ya masaa mawili. Yaani ukiingia saa 4 usiku ni kula, kumla na kulala.
Weekends ukiamka ni kwenda maskani, bar au site kuangalia miradi. Ukirudi ratiba ni ileile kula, kumla na kulala.