Ni kawaida mkishibana na mkeo akugeuze mbea hadi muda mwengine unajisahau unaanza kunogewa umbea ?

Huwa unakaa mkao gani mkianza kusogoa umbea na mkeo? ๐Ÿ˜น

Usichokijua sisi wanawake ni ma-CIA wa kujitegemea. Tunamponda demu ambaye tunahisi umepita naye mtaani. Ukianza kubisha mfano โ€œLamomy lile traco sio lake anavaa kigodoro.โ€ ukajimix ukabisha ukasema ni lake Og jiandae na ufafanuzi wa kutosha na penzi kutikisika..!!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚khaaaah
 
Nature ya mwanamke ni kuongea matatizo ya wenzake ( wakati na yeye anayo lukuki,kusengenya,majungu

Huwapenda Sana wanaume wanaowasikiliza umbeya au wanaowapelekea umbea

Ukitaka kuwa adui na mwanamke mkataze kukusimulia au umbea na majungu

Wanawake hulika kirahisi Sana Sana na wanaume wajinga wajinga wanapenda kuwasimulia umbea au kusikilizabea wa wanawake
 
Nina bahati mbaya, ba tamu hapendi mambo ya umbea au udaku, yaani nikianzisha hiyo mada atanikata jicho 1 hilo la mwana ukome.

Mie na yeye tunazungumza kuhusu mpira, tukianza kubishana kuhusu soka, inakua hatarii tupuu. Lol.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kwamba kuna mtu kaoa shoga ukiwa na kende zako na tule tumiguu twako ulitotuonesha humu kwenye zile picha zako za ule uzi wa Mshana Jr

Dah, Mungu atuhurumie. Inasikitisha sana na humu duniani kuna mambo ya ajabu sana.

Aiseeeee
 
Nature ya mwanamke ni kuongea matatizo ya wenzake ( wakati na yeye anayo lukuki,kusengenya,majungu

Huwapenda Sana wanaume wanaowasikiliza umbeya au wanaowapelekea umbea

Ukitaka kuwa adui na mwanamke mkataze kukusimulia au umbea na majungu

Wanawake hulika kirahisi Sana Sana na wanaume wajinga wajinga wanapenda kuwasimulia umbea au kusikilizabea wa wanawake
Upo nje ya mada, hata kama una chuki zako na wanawake wakati mwingine jaribu kua positive, mada hii ni kwa WANANDOA WAPENDANAO au wenye MAHUSIANO YA FURAHA, kama upo kwenye moja ya hivyo vipengele viwili basi utamuelewa mleta mada
 
Wangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamani๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
Mada ikageuka

Kilichofuata hapo sasa
 
Kwamba kuna mtu kaoa shoga ukiwa na kende zako na tule tumiguu twako ulitotuonesha humu kwenye zile picha zako za ule uzi wa Mshana Jr

Dah, Mungu atuhurumie. Inasikitisha sana na humu duniani kuna mambo ya ajabu sana.

Aiseeeee
Wee em sema kweliii?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamani๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
bado kidogo angejichanganya, hivi wanawake kwanini hampendi kusikia mwenzenu akisifiwa hata katika mfano au tukio?
 
Niliambiwa SelaSon je unapenda umbeya kuliko kula? Nikamjibu hapana! Alitarajia nimjibu ndio coz Mimi Huwa namuuliza hivyo na hujibu ndio! Basi namhadithia umbeya. Hiyo siku nimejibu hivyo akawa mnyonge sana mpaka nikamuonea huruma
 
Wangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamani๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“
Baba G, akanunua ugomvi bila kutarajia ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwani shoga ana jidate mwenyewe??
Hivi watu mmevurugwa au stress za maisha zinawa batua? Woiiiiih
Coca mbona wanakuandama sana?
Nimemiss tukio gani nilivyotoka humu?
 
Huwa unakaa mkao gani mkianza kusogoa umbea na mkeo? ๐Ÿ˜น

Usichokijua sisi wanawake ni ma-CIA wa kujitegemea. Tunamponda demu ambaye tunahisi umepita naye mtaani. Ukianza kubisha mfano โ€œLamomy lile traco sio lake anavaa kigodoro.โ€ ukajimix ukabisha ukasema ni lake Og jiandae na ufafanuzi wa kutosha na penzi kutikisika..!!
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom