Na wewe ni muhanga ?Raha sanaa! Sio kuishi kama mko kituo cha polisiπ€£
--Kuna
Ndio mkuuπNa wewe ni muhanga ?
πππππππUtasikiaa,,, niambie basi au Leo hutaki bia + kikofi cha begani!!!!!
Ili mradi apate umbea tu.
Kwani we s shoga baba akeNina bahati mbaya, ba tamu hapendi mambo ya umbea au udaku, yaani nikianzisha hiyo mada atanikata jicho 1 hilo la mwana ukome.
Mie na yeye tunazungumza kuhusu mpira, tukianza kubishana kuhusu soka, inakua hatarii tupuu. Lol.
ππππππ
πππππ kwani shoga ana jidate mwenyewe??Kwani we s shoga baba ake
πππππWangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamaniπ€π€π€π€π€π€
Katika watu wambea kwenye jamii ni mume na mke, yaani hii combo kwa umbeya hatari. Midomo huwawasha wakiwa na umbeya, ukitaka kujua mwanaume unaingizwa kwenye zone za umbeya ni pale mkeo anapo angalia tamsilia zake nawe ukaishia kuwa mshabiki kama yeye.Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia.
Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh !
Kuna umbea umekuwa kama Series unaenda hadi mwezi najikuta nina shauku ya kumuomba updates naye ananiomba.
SIO POA KABISA.