wana stress zao hao achana nao mwayaπππππ kwani shoga ana jidate mwenyewe??
Hivi watu mmevurugwa au stress za maisha zinawa batua? Woiiiiih
umemaliza kila kitu.Ni sawa ila limits ni muhimu, hawa ndugu zetu ni wambea sana..usipoangalia unakuwa kama yeye au zaidi, sometimes you just brush off her stories.
πππππ kwa kweli.wana stress zao hao achana nao mwaya
πππππππkhaaaahHuwa unakaa mkao gani mkianza kusogoa umbea na mkeo? πΉ
Usichokijua sisi wanawake ni ma-CIA wa kujitegemea. Tunamponda demu ambaye tunahisi umepita naye mtaani. Ukianza kubisha mfano βLamomy lile traco sio lake anavaa kigodoro.β ukajimix ukabisha ukasema ni lake Og jiandae na ufafanuzi wa kutosha na penzi kutikisika..!!
Kwamba kuna mtu kaoa shoga ukiwa na kende zako na tule tumiguu twako ulitotuonesha humu kwenye zile picha zako za ule uzi wa Mshana JrNina bahati mbaya, ba tamu hapendi mambo ya umbea au udaku, yaani nikianzisha hiyo mada atanikata jicho 1 hilo la mwana ukome.
Mie na yeye tunazungumza kuhusu mpira, tukianza kubishana kuhusu soka, inakua hatarii tupuu. Lol.
ππππππ
Huu ni ukweli kabisa, Mke na Mume (wanaopendana na kushibana) ni wambea sanaaaaKatika watu wambea kwenye jamii ni mume na mke, yaani hii combo kwa umbeya hatari.
Upo nje ya mada, hata kama una chuki zako na wanawake wakati mwingine jaribu kua positive, mada hii ni kwa WANANDOA WAPENDANAO au wenye MAHUSIANO YA FURAHA, kama upo kwenye moja ya hivyo vipengele viwili basi utamuelewa mleta madaNature ya mwanamke ni kuongea matatizo ya wenzake ( wakati na yeye anayo lukuki,kusengenya,majungu
Huwapenda Sana wanaume wanaowasikiliza umbeya au wanaowapelekea umbea
Ukitaka kuwa adui na mwanamke mkataze kukusimulia au umbea na majungu
Wanawake hulika kirahisi Sana Sana na wanaume wajinga wajinga wanapenda kuwasimulia umbea au kusikilizabea wa wanawake
Mada ikageukaWangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamaniπ€π€π€π€π€π€
Wee em sema kweliii?? ππππKwamba kuna mtu kaoa shoga ukiwa na kende zako na tule tumiguu twako ulitotuonesha humu kwenye zile picha zako za ule uzi wa Mshana Jr
Dah, Mungu atuhurumie. Inasikitisha sana na humu duniani kuna mambo ya ajabu sana.
Aiseeeee
bado kidogo angejichanganya, hivi wanawake kwanini hampendi kusikia mwenzenu akisifiwa hata katika mfano au tukio?Wangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamaniπ€π€π€π€π€π€
Kwamba una mtu anachimba hiyo mbolea na uko proudWee em sema kweliii?? ππππ
Kama kawaida ugomvi ,lakini huyu wangu kumshinda labda umkute kaingizaπ€π€π€π€π€Mada ikageuka
Kilichofuata hapo sasa
Wivu Tu,lakini Bora Sisi kuliko ninyi,Yaani mwanamke wako aanze Tu kumsifia mwanaume mwingine uone kitakavyowakaππππbado kidogo angejichanganya, hivi wanawake kwanini hampendi kusikia mwenzenu akisifiwa hata katika mfano au tukio?
Baba G, akanunua ugomvi bila kutarajia π€£π€£Wangu siku moja nikampa umbea Wa jirani yetu wameachana na mume wake,jamaa kaenda kuoa kitoto cha 2005,akaropoka eti jamaa mshenzi kweli huyo anamuachaje mwanamke mzuri hivyo!!!!!
Nikamwambia kwa hiyo ulikua unamtamaniπ€π€π€π€π€π€
Coca mbona wanakuandama sana?πππππ kwani shoga ana jidate mwenyewe??
Hivi watu mmevurugwa au stress za maisha zinawa batua? Woiiiiih
πππHuwa unakaa mkao gani mkianza kusogoa umbea na mkeo? πΉ
Usichokijua sisi wanawake ni ma-CIA wa kujitegemea. Tunamponda demu ambaye tunahisi umepita naye mtaani. Ukianza kubisha mfano βLamomy lile traco sio lake anavaa kigodoro.β ukajimix ukabisha ukasema ni lake Og jiandae na ufafanuzi wa kutosha na penzi kutikisika..!!