Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Mwanamke ukishamuweka ndani hupaswi kuonana naye zaidi ya masaa mawili. Yaani ukiingia saa 4 usiku ni kula, kumla na kulala.
Afu hakuna hata matukio humu. Watu wana stress za January mahi.Coca mbona wanakuandama sana?
Nimemiss tukio gani nilivyotoka humu?
πππππ utaanza wee kulaaniwa kwanza.Kwamba una mtu anachimba hiyo mbolea na uko proud
Ulaaniwe manyoko
Achana nao!Afu hakuna hata matukio humu. Watu wana stress za January mahi.
πππππ
Naturally husband and wife are gossip mates.Nina mengi ya kueleza kuhusu huu ushuhuda , kuna muda unafika hadi najiuliza huyu mwanamke kaniingizaje kwenye hii tabia.
Sometimes tunaweza kukaa pamoja anaanza umbea najikuta nimekolea naanza kuuliza kabisa ehee ikawaje, kikafuata nini, na hili bezi sasa duh !
Kuna umbea umekuwa kama Series unaenda hadi mwezi najikuta nina shauku ya kumuomba updates naye ananiomba.
SIO POA KABISA.
Rudisha Pumbu zetu.πππππ kwani shoga ana jidate mwenyewe??
Hivi watu mmevurugwa au stress za maisha zinawa batua? Woiiiiih
Em njoo chukua bwashee, naona mzigo tyuuh kuzibeba mda wote.Rudisha Pumbu zetu.
Pumbavu na tumiguu twako twembamba kama alivyosema jamaa hapo alipokuona kwenye picha zako.
Haswaaa, ππππAchana nao!
Wangu athubutu kunitajia mwanaume mwingine ila tukiwa tunatembea akiona mdada mzuri mwenye nyash huwa ananishtua nimuangalie ila nisiseme neno lolote, kuna siku nilijichanganya akaniuliza mzuri eeh kajazia? Nikamjibu ndio mkali kinoma, kilichofuata nilinuniwa siku 3Wivu Tu,lakini Bora Sisi kuliko ninyi,Yaani mwanamke wako aanze Tu kumsifia mwanaume mwingine uone kitakavyowakaππππ