kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,511
- 4,369
Ha ha. Nyie mmelihujumu taifa aiseeKuiba kura....
Sema tu mkuujamani kutokuwa hata na mia mbovu ni hatari niliwahi fanya kazi ya ajabu mpaka kusema ni Aibu
Funguka bossjamani kutokuwa hata na mia mbovu ni hatari niliwahi fanya kazi ya ajabu mpaka kusema ni Aibu
Na kwanini mtu akianza wizi kuacha inakuwa shida?Tulienda kuiba vifaa vya ujenzi kwenye kampuni ya ujenzi..
Hakuna siku nilikuwa natetemeka km siku hiyoo..baridi kali ya usiku lakini nilikuwa nasweat balaaaa..
Tulifanikiwa tukapiga ela safii kbss.
Roho ya tamaa ya uwizi ikataka kuanza kuniandama.
Nikaikemea roho hiyo chafuu.
Wale wenzangu walinipa mchongo walipigwa shaba wawili wawili wengine walikuja kuiba kanisani wakasomewa ufunuo ni vichaa siku hizi
Wanasema inanoga sanaNa kwanini mtu akianza wizi kuacha inakuwa shida?
Nikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba.
Nikawa napiga vibarua vya kubeba zege pale ili walau kukidhi mahitaji.
Saivi hapa namsimulia wife ananicheka tu..
Ni kazi gani ya ajabu uliwahi kufanya kipindi umefulia?
DuhNilikuaga mhandis nalipwa 50k kwa mwezi
Uganga wa kienyeji na kupiga ramli, mkata vimeo na ngaribaNikiwa pale udbs bana,ndipo Wakati lile jengo la pssf Tower lilikua linajengwa.kuna kipindi nilifulia nikawa sina hata mia mbovu..home nako nimeacha wife ana mimba.
Nikawa napiga vibarua vya kubeba zege pale ili walau kukidhi mahitaji.
Saivi hapa namsimulia wife ananicheka tu..
Ni kazi gani ya ajabu uliwahi kufanya kipindi umefulia?