Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,208
- 3,938
Kwani we ni mwalimu?Kuiba kura....
Ni kazi rahisi sana kupata pesa , kama kubet tu mtu akianza haachi tena .Na kwanini mtu akianza wizi kuacha inakuwa shida?
Maumivu gani wanayopitiaNiliendesha daladala mpaka akili zikaa sawa [emoji2960]
Naheshimu sana nikipanda daladala hua nawatafakari sana huku nikijua wanachokifanya barabarani na nikijua wanachopitia ni maumivu makubwa sana
Acha kabisa, sitaki hata kukumbuka!M
Maumivu gani wanayopitia
1.Nilikuwa fundi vitu vya umeme wa kunjunga kwenye office ya mshkaji pale River side, sikustukiwa na wateja kwakuwa mshkaji alikuwepo muda wote, kuna siku akaniachia office akaenda kariakoo kufuata spare, akaja mteja na pasi yake ya Phillips regulator ilikuwa ngumu kidogo kwenye kuzungusha......niliishia kupewa buku nikaambiwa kanywe chai, hapo ni baada ya kuangaliwa kwa macho nikagundulika niko hoi[emoji3][emoji3][emoji3].
Kazi sikupewa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]1.Nilikuwa fundi vitu vya umeme wa kunjunga kwenye office ya mshkaji pale River side, sikustukiwa na wateja kwakuwa mshkaji alikuwepo muda wote, kuna siku akaniachia office akaenda kariakoo kufuata spare, akaja mteja na pasi yake ya Phillips regulator ilikuwa ngumu kidogo kwenye kuzungusha
Nikajitia bingwa nikaforce ikavunjika, nikapambana nikaifungua pasi nikaibana ile regulator na wire kisha nikairudishia. Mwenye pasi akakuta ndio namalizia.. Ile kutest kwenye umeme lilipiga bonge la shot, mimi kule pasi kule mteja mbio[emoji24][emoji23]
Nikatimuliwa nisionekane tena pale jamaa akaingia hasara ya kulipa pasi
2. Kitaa kikawa kigumu mno. Siku moja nikatembea mpaka Mugabe Sinza, nikakuta mchina anafungua duka la dawa! Nikajifanya mimi mfamasia nikapata kazi
Kuna siku nimeachwa peke yangu akaja mdada mwanae ana pumu kali sana nikamwandikia dozi dokta uchwara mimi. Kumbe sikumpa ya pumu bali ya kushusha pressure.. Mtoto wa watu aliponea tundu la sindano kurudisha number.. Na siku hiyo ndio ilikuwa ya mwisho kuitwa dokta, nilitimuliwa kazi
Siku hizi hauliilii kwa kudhani kila mtu hakutaki?Kuunga mkono juhudi
unakata vimeo? hii ni ipi hyo kk?Uganga wa kienyeji na kupiga ramli, mkata vimeo na ngariba
Umetubu mkuuTulienda kuiba vifaa vya ujenzi kwenye kampuni ya ujenzi..
Hakuna siku nilikuwa natetemeka km siku hiyoo..baridi kali ya usiku lakini nilikuwa nasweat balaaaa..
Tulifanikiwa tukapiga ela safii kbss.
Roho ya tamaa ya uwizi ikataka kuanza kuniandama.
Nikaikemea roho hiyo chafuu.
Wale wenzangu walinipa mchongo walipigwa shaba wawili wawili wengine walikuja kuiba kanisani wakasomewa ufunuo ni vichaa siku hizi
ππππππMkuu yaani ulienda kuomba KAZI halafu alivyokuangalia tu akakupa buku akakwambia ukanywe chai? Au ni sijaelewa mimiπππ......niliishia kupewa buku nikaambiwa kanywe chai, hapo ni baada ya kuangaliwa kwa macho nikagundulika niko hoi[emoji3][emoji3][emoji3].
Kazi sikupewa...
Yeah, aliona nitaharibu kazi yake kutokana na udhaifu niliokuwa nimepigika nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu yaani ulienda kuomba KAZI halafu alivyokuangalia tu akakupa buku akakwambia ukanywe chai? Au ni sijaelewa mimi[emoji23][emoji23][emoji23]