Ni kheri nimelijua hili nikiwa bado kijana

Ni kheri nimelijua hili nikiwa bado kijana

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Kuna stage katika maisha, universe itakupitisha katika tanuri la moto ili tu ikuamshe. Yaani utaona kama Mungu alikosea kukuumba ilihali amekufanya wa tofauti ili uje uje utimize mambo makubwa.

Katika maisha nilikuwa najiuliza sana mbona kuna mifumo? Like watu wanaishi kufuata protocol na ukiacha tu maisha umeyakosea?

Nilikuwa naenda kanisani najiuliza hivi huyu mtu wanayemwita Mungu ndo nani hasa?

Mashuleni nikisoma nilikuwa najiuliza mbona wanyama hawasomi? Mbona mababu zetu hawakwebda shuleni na waki ishi kimila tu vizuri?

Ila hakuna aliye nipa majibu au jawabu? Muda na masaa ya kula na kulala nayo.. Ilikuwa nashangaa sana!.

Ila baada ya kuja kupitia msoto, na kujua ya kuwa sio kwamba hii ni kawaida bali, ni mifumo tu iliyo wekwa kumfanya mwanadamu, awe rahisi ku control. Maana if we look clearly kwanini tunafanya tunalo lifanya?

Ni kwasababu!!! Yaani hauwezi tu kuamka na kuanza kufanya kitu labda kama wewe ni chizi...

We live in a world where dopamine is a commodity, something we need to spend money on.

Yaani hatujui tuko wapi na kwanini!

Hakuna mwongozo wa maisha, sisi ni wanyama tu... We are all going to die one day. Na Unaposema una chase kitu fulani tambua hakuna unacho chase, unakimbizana na past moment ijirudie tena

You only have now... This moment... Na huo ndo ukweli Mchungu..

Uwe hospitalini unaumwa, au uwe kwenye pipa una elekea Dubai..

Wewe halisi uko sasa hivi na muda huu..

Hayo mengine ni illusion na ukishaipata ni sawa na kupiga bao wakati wa tendo.. It's only for a second then the excitement fades.

Sasa je ni heri uya curve maisha yako yakupe satisfaction au uingie kwenye system ya ku chase mafanikio ukiuza soul yako in the process..

I choose to be me.. Nitafanya nitakalo sitasikiliza mawazo ya mtu kama haya align na visions zangu.

Binadamu huwa na tendency ya kutafuta closure kwa watu, so ukiwa sikiliza utapotea...

Usiharakishwe na maisha ya mtu mwingine, kama hauoendi kuishi kwenye harakati na makelele then opt for a cottage life,

kama unapenda mishe mishe ishi mjini.

Kama sio mwongeaji usitake kuforce watu wakusikie, even your silence is loud too,

kama hutaki sifa na kujionesha it's okay, kama wewe ni mtu wa sifa, kuwa kama wale jamaa wa katoro na bilions..

Maisha hayana formula Buda.

Ni kheri kila mtu angelitambua hili mapema. Tungepunguza stress na Maumivu ya sio na maana.
 
Dejay sindikiza watoto wa YESU


View: https://youtu.be/dkPClcO4Whw?si=ixuCmwvr9Vg43gb0


Muda unaishia!

Mabaki wapo!

Walikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora. Walikuwepo wakati wa Nuhu. Watakuwepo wakati wa kurudi kwa YESU!

Wateule wa Bwana wapo!

Watoto wa MUNGU wapo!

By the Power invested in me, nawafungua wote niliowafunga kwa ulimi wangu.

MAY YOU BE FREE IN CHRIST!
MAY YOU LIVE FOREVER IN CHRIST!

Mambo ni mengi muda ni mchache!
 
JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Dejay sindikiza watoto wa YESU


View: https://youtu.be/dkPClcO4Whw?si=ixuCmwvr9Vg43gb0


Muda unaishia!

Mabaki wapo!

Walikuwepo wakati wa Sodoma na Gomora. Walikuwepo wakati wa Nuhu. Watakuwepo wakati wa kurudi kwa YESU!

Wateule wa Bwana wapo!

Watoto wa MUNGU wapo!

By the Power invested in me, nawafungua wote niliowafunga kwa ulimi wangu.

MAY YOU BE FREE IN CHRIST!
MAY YOU LIVE FOREVER IN CHRIST!

Mambo ni mengi muda ni mchache!
 
JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS!🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

No turning back on Christ who gives us strength..

Blessings 🙏
 
Inaonekana hupendi mifumo iliyopo na una rebellious spirit 😄 tafuta hela, nunua ranch yako, uishi na watu wako na wanyama wako utakuwa na some control, time na freedom ya kuishi maisha unayotaka, or the hard way pambana ubadilishe mifumo usiyoitaka, matajiri wengi Marekani wanaishi kwenye ranch or private land kwa sababu hawapendi stupid rules
 
Inaonekana hupendi mifumo iliyopo na una rebellious spirit 😄 tafuta hela, nunua ranch yako, uishi na watu wako na wanyama wako utakuwa na some control, time na freedom ya kuishi maisha unayotaka, or the hard way pambana ubadilishe mifumo usiyoitaka, matajiri wengi Marekani wanaishi kwenye ranch or private land kwa sababu hawapendi stupid rules
Sijasema sipendi mifumo...

Infact, hauwezi kuishi bila mifumo...

Hata Mungu ameumba mifumo ndani yetu ili tuweze kuishi.. Mfano mfumo wa digestion, upumuaji nakadhalika..

Ninachosema ni kuwa kila mtu ana uhuru wa kufuata kitu based on his/her own willingness. Sio uishi kwa Matakwa ya binadamu mwingine... As long as hauvunji uhuru wa mwingine pia.
 
Okey kwanini kuna usiku+mchana
Kwanini massaa 24=1siku
Kwanini siku 365=1mwaka
Kwanini maisha yako na stages mfano kuzaliwa+kukua+kuzeeka,
Kwanini kuna elimu+siasa+Dini+Uchumi+afya
N.k
The formula is already there just survive to live !!!
Sasa hizi ndo formula tunazoziongelea?

Tofautisha mfumo na formula kwanza..

Formula ni yako pekee, it must be something you decide to choose.. Ila mfumo ni ule ambao uko prior.

Kinapokuja swala la mifumo, either imetengenezwa na mtu au Mungu.. Vinabaki kuwepo tu.. Mfano numbering system au banking, au coding.. Hizo zinakuwepo ila formular ni namna unavyo itumia hiyo mifumo
 
Back
Top Bottom