Kuna stage katika maisha, universe itakupitisha katika tanuri la moto ili tu ikuamshe. Yaani utaona kama Mungu alikosea kukuumba ilihali amekufanya wa tofauti ili uje uje utimize mambo makubwa.
Katika maisha nilikuwa najiuliza sana mbona kuna mifumo? Like watu wanaishi kufuata protocol na ukiacha tu maisha umeyakosea?
Nilikuwa naenda kanisani najiuliza hivi huyu mtu wanayemwita Mungu ndo nani hasa?
Mashuleni nikisoma nilikuwa najiuliza mbona wanyama hawasomi? Mbona mababu zetu hawakwebda shuleni na waki ishi kimila tu vizuri?
Ila hakuna aliye nipa majibu au jawabu? Muda na masaa ya kula na kulala nayo.. Ilikuwa nashangaa sana!.
Ila baada ya kuja kupitia msoto, na kujua ya kuwa sio kwamba hii ni kawaida bali, ni mifumo tu iliyo wekwa kumfanya mwanadamu, awe rahisi ku control. Maana if we look clearly kwanini tunafanya tunalo lifanya?
Ni kwasababu!!! Yaani hauwezi tu kuamka na kuanza kufanya kitu labda kama wewe ni chizi...
We live in a world where dopamine is a commodity, something we need to spend money on.
Yaani hatujui tuko wapi na kwanini!
Hakuna mwongozo wa maisha, sisi ni wanyama tu... We are all going to die one day. Na Unaposema una chase kitu fulani tambua hakuna unacho chase, unakimbizana na past moment ijirudie tena
You only have now... This moment... Na huo ndo ukweli Mchungu..
Uwe hospitalini unaumwa, au uwe kwenye pipa una elekea Dubai..
Wewe halisi uko sasa hivi na muda huu..
Hayo mengine ni illusion na ukishaipata ni sawa na kupiga bao wakati wa tendo.. It's only for a second then the excitement fades.
Sasa je ni heri uya curve maisha yako yakupe satisfaction au uingie kwenye system ya ku chase mafanikio ukiuza soul yako in the process..
I choose to be me.. Nitafanya nitakalo sitasikiliza mawazo ya mtu kama haya align na visions zangu.
Binadamu huwa na tendency ya kutafuta closure kwa watu, so ukiwa sikiliza utapotea...
Usiharakishwe na maisha ya mtu mwingine, kama hauoendi kuishi kwenye harakati na makelele then opt for a cottage life,
kama unapenda mishe mishe ishi mjini.
Kama sio mwongeaji usitake kuforce watu wakusikie, even your silence is loud too,
kama hutaki sifa na kujionesha it's okay, kama wewe ni mtu wa sifa, kuwa kama wale jamaa wa katoro na bilions..
Maisha hayana formula Buda.
Ni kheri kila mtu angelitambua hili mapema. Tungepunguza stress na Maumivu ya sio na maana.