Sawa introvert,
Naonaha unaijibu neno moja tu, unasepa
EnjoyHaya bwana,
Leo siku ya ajabu sana.. Ngoja nikale vizuri leo,
Ujue ili iweje?Aisee hivi wewe ni jinsia gani Mkuu?
Tabia oza zangu ni zipi?Aisee kumbe na wewe jamaa ni mtu a tabia oza? Duh walahi hii jf bwana?
Ndio.
Labda ujitetee lakini your character in here says it all
Zawadi ya nini?Je nikupe zawadi gani?
Mkuu de gunner za sahizi?Kama wewe ni ndama alafu mwehu,
Si jina tu tayari linatupa majibu?
Sijawahi kukuchukia wewe kijana mdogo hua nisukubalini tu na baadhi ya mada zakoUmefanya jambo jema leo! 😂